'Na pesa yetu' ATCL already making massive losses... CAG report

You are really dumb.
Unataka kumaanisha private companies zikipata hasara haziwezi endelea na operations?
Kazi ya benki ni nini?
They just pile up more debt.

Alafu, sababu kampuni imeitwa 'private', sio kumaanisha haiwezi uza shares ama kuleta investors wengine. Inamaanisha tu kwamba haiwezi uza shares kwa stock exchange.

Uber is a private company. Making billions in losses and still surviving.
SpaceX is a private company. Has been making losses for long and still attracts investors.
Facebook, Amazon and virtually all companies have been private at some point, making losses and still surviving.

Your dumb ass thinks loss = bankruptcy.

There is no airline in Tanzania that has ever made a profit.
Wewe ni mpumbavu sana, sasa maana ya kufanya biashara ninini?, kitu gani kitafanya kampuni liendelee kufanya biashara?, Benki gani ambayo ipo tayari kukopesha kampuni ambayo inapata biashara year in year out?, mbona hiyo KQ hakuna Bank iliyopo tayari kuikopesha pamoja na serikali kutoa guarantee.

Acha ujinga wewe, hakuna business yoyote ile inayopata hasara miaka mitano mfululizo na bado ikaendelea kufanya biashara bila support, onyesha wapi Precision Air imekopa pesa, mbona katika financial statement hatuoni madeni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahaaa haaa haaa
Hasara for a decade? And go on operating??

Kumbe hata wewe ni zuzu kwa maneno ya accounting.
The only reason Precision Air has been flying is because they have been getting financial injections. Either from the shareholders (KQ and the rest), or they have been taking bank loans.

That's how private companies survive.
Uber has also been making losses since 2009.
 
Dude, loan repayments is an expense. Loan repayment will eat into your profit thus profit and loan repayment can never same sign on opposite ends of an equation because they are inversely proportional.

I hate arguing with people who've never been to school. Go back to school and come back.
Hujui kitu nenda kalale Kibera, pitia hizo equations utaelewa vizuri acha kukurupuka, wenzako wote wameelewa acha kunipotezea muda wangu bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It's easy to take 100% of the market when there are no other players.
Fastjet and the everyone else is struggling in Tanzania.
Even ATCL is struggling, only that they have the Tanzanian treasury behind them.
The issue here is not whether they are other players or not. My learned friend intimated that ATC fly on empty seats on some of its flight which i categorically rejected and according to reliable sources, average flight seat occupancy is more than 80% where occupancy break-even point is 30-35% halafu unasema zinaruka half empty???
 
PrecisioPrecision air wapo katika biashara kwa zaidi ya miaka 20 sasa na wanapata faida kwa domestic routes pekee, hata baada ya ATCL kuchukua 50% market share bado Precision Air inaendelea kupata faida, Tanzania is a big country.

Domestic routes zitaendelea kuwa main sources of revenue kwa ATCL hata baada ya kuanzisha safari za nje kutokana na competition ya usafiri wa ndege ulivyo kwa sasa, faida kubwa itakayopatikana kutokana na safari za nje ni utalii na investments.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unafahamu unachokizungumza? Precision Air inatengeneza faida nani amekudanganya.
 
Wewe ni mpumbavu sana, sasa maana ya kufanya biashara ninini?, kitu gani kitafanya kampuni liendelee kufanya biashara?, Benki gani ambayo ipo tayari kukopesha kampuni ambayo inapata biashara year in year out?, mbona hiyo KQ hakuna Bank iliyopo tayari kuikopesha pamoja na serikali kutoa guarantee.

Acha ujinga wewe, hakuna business yoyote ile inayopata hasara miaka mitano mfululizo na bado ikaendelea kufanya biashara bila support, onyesha wapi Precision Air imekopa pesa, mbona katika financial statement hatuoni madeni?

Sent using Jamii Forums mobile app

Arguing with you is hectic. Sijui ulifika shule grade gani, but you are dumb as a rock.

Tesla, launched in 2003. Has never made a full year profit.
Amazon - Took more than 15 years to make a profit.
Uber - Never made a profit 10 years later.

There are literally thousands of examples. Banks are willing to fund you as long as the revenue shows they will get back their money. You don't need to make a profit to get bank financing..

Umesoma hizo financial reports za Precision ama ni ujinga tu uko nao hapa?

Precision in 2017 had loans of Tsh316 billion. Which was an increase from Tsh306 billion the previous year.

1069496
 
The issue here is not whether they are other players or not. My learned friend intimated that ATC fly on empty seats on some of its flight which i categorically rejected and according to reliable sources, average flight seat occupancy is more than 80% where occupancy break-even point is 30-35% halafu unasema zinaruka half empty???

A dreamliner flying with 100% occupancy on a $50 per ticket route will never make a profit.
A dreamliner needs to fly on a $1000 per ticket route.
 
Hivi unafahamu unachokizungumza? Precision Air inatengeneza faida nani amekudanganya.
Hata Acacia, Wiliumson Diamond, na MIGODI yote haijawahi kupata faida tangu kuanzishwa kwake, Magufuli alipisimama kidete na kuunda zile tume za dhahabu na Almasi, sasa hivi ndio wameanza kupata faida. Wewe ungepewa hii nchi ungeendelea kuamini hizo ripoti zao za mapato hadi Leo hii nchi ingeendelea kutafunwa na wajanja.

Wafanyakazi wa TRA walikuwa wakihusika sana katika kusaidia haya makampuni kuandaa hizo financial statements ili wakwepe kodi, swali dogo tu la kujiuliza ni kwamba, kama kampuni linapata hasara miaka nenda rudi, jambo gani linalofanya liendelee na biashara?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A dreamliner flying with 100% occupancy on a $50 per ticket route will never make a profit.
A dreamliner needs to fly on a $1000 per ticket route.
Soma vizuri uzi wangu. Dreamliner

Hivi mbona huwezi kustick kwenye subject. Unapenda kuruka ruka bila substance
 
A dreamliner flying with 100% occupancy on a $50 per ticket route will never make a profit.
A dreamliner needs to fly on a $1000 per ticket route.
Soma vizuri uzi wangu. Sijazungumzia Dreamliner kwani hiyo ni subject nyingine kabisa.
Nadhani ingekuwa bora ukabaki kwenye maudhui kuliko kujiingiza kwenye maeneo ambayo ninahisi huyafahamu vizuri.
 
Hata Acacia, Wiliumson Diamond, na MIGODI yote haijawahi kupata faida tangu kuanzishwa kwake, Magufuli alipisimama kidete na kuunda zile tume za dhahabu na Almasi, sasa hivi ndio wameanza kupata faida. Wewe ungepewa hii nchi ungeendelea kuamini hizo ripoti zao za mapato hadi Leo hii nchi ingeendelea kutafunwa na wajanja.

Wafanyakazi wa TRA walikuwa wakihusika sana katika kusaidia haya makampuni kuandaa hizo financial statements ili wakwepe kodi, swali dogo tu la kujiuliza ni kwamba, kama kampuni linapata hasara miaka nenda rudi, jambo gani linalofanya liendelee na biashara?.

Sent using Jamii Forums mobile app

You have your head so high in Magufuli's ass, you no longer separate fact from fiction.

Acacia has been making profits for the longest time. Financial reports zao kutoka 2013 ziko available, and they are all profit.

http://dse.co.tz/profile-company/130/financials
 
Hujui kitu nenda kalale Kibera, pitia hizo equations utaelewa vizuri acha kukurupuka, wenzako wote wameelewa acha kunipotezea muda wangu bure.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wenzangu wagani wakati ni mimi niliyekueleza maana ya profit?

Husaidiki wewe boya. Hata hungejua profit ni nini kama singekueleza hapo juu sasa unataka kujifanya mjuaji. Kafirwe huko Tandale.
 
Soma vizuri uzi wangu. Sijazungumzia Dreamliner kwani hiyo ni subject nyingine kabisa.
Nadhani ingekuwa bora ukabaki kwenye maudhui kuliko kujiingiza kwenye maeneo ambayo ninahisi huyafahamu vizuri.

Maudhui ni kwamba ATCL ni hasara tupu.
Kama hutaki kuelezwa hiyo hasara intaoka wapi, shauri yako.
 
Kumbe hata wewe ni zuzu kwa maneno ya accounting.
The only reason Precision Air has been flying is because they have been getting financial injections. Either from the shareholders (KQ and the rest), or they have been taking bank loans.

That's how private companies survive.
Uber has also been making losses since 2009.

Bro huwa sipendi kubishana na mtu ambaye anajifanya anajua KUMBE hajui. Achana na hii mada.

By the way, I was referring to Acacia who posted losses for a decade. The qn is how survived for that long.
 
mpeni dozi hilo jiwe la joto...naona anaruka ruka angani na ku change gear km lile dreamliner lao lakupiga route za tandale...mara accacia,mara magufuli,mara precision...kw akili zake hapo yeye anajuwa naongelea mada ya hasara inayoikumbuka ATCL...yani kuzaliwa mbongo lazima utakuwa mbishi tu...hta sai mkimwambia magu ni binadamu si shetani...atapinga kisha atakwambia umpee link..ukimpa link atasema hzo data zimepikwa anataka za kutoka kw reliable source...
yani atapinga mwishoe atasema hatutaki vitu kwenye makaratasi..tunataka kuona vitu kwenye field...umeona juzi kachoma vifaranga,huoni lile bichwa lake...sasa hapo atakuwaje binadamu..huyo shetani bana...
bwahahaaa
 
Bro huwa sipendi kubishana na mtu ambaye anajifanya anajua KUMBE hajui. Achana na hii mada.

By the way, I was referring to Acacia who posted losses for a decade. The qn is how survived for that long.

I now see why your countrymen flock Kenya for their education.

You can't even get yourself to verify the information you receive from your populist government.
Acacia is a public company that releases yearly reports. Kwa nini huwezi jisomea wewe mwenyewe?

Acacia has been making profits for the longest time. The only time they made a loss is last year.

Enda ukasome financial results hapa kama unaweza elewa. - http://dse.co.tz/profile-company/130/financials
 
Wenzangu wagani wakati ni mimi niliyekueleza maana ya profit?

Husaidiki wewe boya. Hata hungejua profit ni nini kama singekueleza hapo juu sasa unataka kujifanya mjuaji. Kafirwe huko Tandale.
Unazungumza utumbo, nimekuandikia

P = R - E
P= profit
R= Revenue
E= Expeses

But:, Expenses = Expenditure (e)+ Loan repayments(L)

Therefore

P= R(revenue) - {Expenditure (e) +Loan repayments (L)}

Tatizo lako ni uwelewa wako mdogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unazungumza utumbo, nimekuandikia

P = R - E
P= profit
R= Revenue
E= Expeses

But:, Expenses = Expenditure (e)+ Loan repayments(L)

Therefore

P= R(revenue) - {Expenditure (e) +Loan repayments (L)}

Tatizo lako ni uwelewa wako mdogo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nishakueleza, Loan repayment and profit can NEVER have the same sign on opposite sides of the equation. They are inversely proportional.

Tafuta mtu aliyeenda shule akueleze maana ya hiyo sentensi alafu uje.
 
Back
Top Bottom