joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hahahahaha, wewe ni chizi. Kenya ujuaji ndio unaowafanya muwe katika matatizo makubwa ya unemployment, corruption, insecurity, hunger, terrorism, tribalism, vyote hivi mumeshindwa kupata suluhisho, vipi mnadhani mnaweza kushauri watu ambao tayari wameshapatia ufumbuzi matatizo ya msingi?mpeni dozi hilo jiwe la joto...naona anaruka ruka angani na ku change gear km lile dreamliner lao lakupiga route za tandale...mara accacia,mara magufuli,mara precision...kw akili zake hapo yeye anajuwa naongelea mada ya hasara inayoikumbuka ATCL...yani kuzaliwa mbongo lazima utakuwa mbishi tu...hta sai mkimwambia magu ni binadamu si shetani...atapinga kisha atakwambia umpee link..ukimpa link atasema hzo data zimepikwa anataka za kutoka kw reliable source...
yani atapinga mwishoe atasema hatutaki vitu kwenye makaratasi..tunataka kuona vitu kwenye field...umeona juzi kachoma vifaranga,huoni lile bichwa lake...sasa hapo atakuwaje binadamu..huyo shetani bana...
bwahahaaa
Sent using Jamii Forums mobile app