'Na pesa yetu' ATCL already making massive losses... CAG report

'Na pesa yetu' ATCL already making massive losses... CAG report

mpeni dozi hilo jiwe la joto...naona anaruka ruka angani na ku change gear km lile dreamliner lao lakupiga route za tandale...mara accacia,mara magufuli,mara precision...kw akili zake hapo yeye anajuwa naongelea mada ya hasara inayoikumbuka ATCL...yani kuzaliwa mbongo lazima utakuwa mbishi tu...hta sai mkimwambia magu ni binadamu si shetani...atapinga kisha atakwambia umpee link..ukimpa link atasema hzo data zimepikwa anataka za kutoka kw reliable source...
yani atapinga mwishoe atasema hatutaki vitu kwenye makaratasi..tunataka kuona vitu kwenye field...umeona juzi kachoma vifaranga,huoni lile bichwa lake...sasa hapo atakuwaje binadamu..huyo shetani bana...
bwahahaaa
Hahahahaha, wewe ni chizi. Kenya ujuaji ndio unaowafanya muwe katika matatizo makubwa ya unemployment, corruption, insecurity, hunger, terrorism, tribalism, vyote hivi mumeshindwa kupata suluhisho, vipi mnadhani mnaweza kushauri watu ambao tayari wameshapatia ufumbuzi matatizo ya msingi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nishakueleza, Loan repayment and profit can NEVER have the same sign on opposite sides of the equation. They are inversely proportional.

Tafuta mtu aliyeenda shule akueleze maana ya hiyo sentensi alafu uje.
Wewe huna akili unanipitezea muda, hizo equations wala huzielewi, kwani usiweke zakwako ambazo unahisi ni sahihi?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha, wewe ni chizi. Kenya ujuaji ndio unaowafanya muwe katika matatizo makubwa ya unemployment, corruption, insecurity, hunger, terrorism, tribalism, vyote hivi mumeshindwa kupata suluhisho, vipi mnadhani mnaweza kushauri watu ambao tayari wameshapatia ufumbuzi matatizo ya msingi?
Sent using Jamii Forums mobile app
usichange gear kabisa nakwambia..usione tumekaa ufikirie hatuyajui yaliyotokea juziCAG si kafanya yake..yani ile ni kali sana..kiingilio ni shi ngapi na mi nihudhurie next time
 
usichange gear kabisa nakwambia..usione tumekaa ufikirie hatuyajui yaliyotokea juziCAG si kafanya yake..yani ile ni kali sana..kiingilio ni shi ngapi na mi nihudhurie next time
Hiyo ndio Tanzania, mambo kama hayo hayawezi kufanyika Kenya, kwasababu kabila moja ndio limeshika serikali wanalindana, ndio sababu Tanzania ipo nafasi ya 99, na Kenya mpo 144 katika ufisadi.
Hahahahaha, hahahahaha, hahahahaha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe huna akili unanipitezea muda, hizo equations wala huzielewi, kwani usiweke zakwako ambazo unahisi ni sahihi?.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ndiye nimekuwekea equation ya kwanza hadi ukatolea hapo ukaja na huo upuzi wako ukidhani utanishtua. Sasa hivi nimekwambie, tafuta mtu aliyesoma akuelezee maana ya hii sentensi:-

Loan repayment and profit can NEVER have the same sign on opposite sides of the equation. They are inversely proportional.

Fanya hilo alafu uje.
 
Mr.failed state ana roho mbaya sana. Apende asipende tanzagiza is a laggard.
Kile kitu watazidi kuacha Kenya kwa umbali ni uchawi. Hapo hawawezi fikiwa na nchi yoyote duniani.
hahaaaa...ye mwnywe huaga ywanifahamu vizuri...
.yani mtu anapinga kila kitu tu bila msingi
 
Unazungumza utumbo, nimekuandikia

P = R - E
P= profit
R= Revenue
E= Expeses

But:, Expenses = Expenditure (e)+ Loan repayments(L)

Therefore

P= R(revenue) - {Expenditure (e) +Loan repayments (L)}

Tatizo lako ni uwelewa wako mdogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Weeee hiii forum iko shida kubwa ya lack of basic accounting knowlwdege.... how is loan repayment a P&L item 😱😱??? Its called loan amortisation (principal + interest) whether you pay or not has got nothing to do with the income statement. Loan repayments affect only your balance sheet ( cash at bank and borrowings/loans).
 
Mimi ndiye nimekuwekea equation ya kwanza hadi ukatolea hapo ukaja na huo upuzi wako ukidhani utanishtua. Sasa hivi nimekwambie, tafuta mtu aliyesoma akuelezee maana ya hii sentensi:-

Loan repayment and profit can NEVER have the same sign on opposite sides of the equation. They are inversely proportional.

Fanya hilo alafu uje.
Never argue with a fool

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Huu uzi bana, nimeusoma kimya kimya hadi nikajua tatizo lipo wapi. joto la jiwe leo ukileta mzaha jombaa, baada ya kuwaletea aibu wenzako watakuondoa hivi kwenye uzi huu.
police-arrest-activist-boniface-mwangi-during-labour-day-celebrations-picture-id168296381
 
Usione mtu amenyamaza ukadhani haeziongea, I'm sure tukiekwa nawe chini tuandike Kiswahili I'll defeat you.
Ahaaa haaa haaa
Mr bricks and mortar engineer.
I know the handwriting (for this matter, the flow of concept) of many members in here. That good flow of sweet Swahili cannot be composed by the guy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usione mtu amenyaza ukadhani haeziongea, I'm sure tukiekwa nawe chini tuandike Kiswahili I'll defeat you.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nitafutie hayo maneno yenye wino mzito KUTOKA kwenye KAMUSI KUU YA KISWAHILI iliyoandaliwa na Taasisi ya Ukuzaji wa Kiswahili Tanzania (TUKI) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Ahaaa haaa haaa
Kiswahili chako kina matege.
 
Mbona chuo kikuu cha Dar es saalam? Why not Nairobi?

Back
Top Bottom