joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hahahaha, vipi wananchi na rais wenu analalamika kwamba nchi yenu haiwezi kujilisha kwasababu ardhi ya kuzalisha chakula ni ndogo wakati mtu mmoja mumempa ardhi tena mzungu mumempa ardhi ambayo ingetosha kuzalisha chakula kwa nchi nzima na kuondokana na aibu ya kutupigia magoti kila mwaka?. Kumbuka hakuna Uhuru wa kweli kama huna uwezo wa kujilisha.Ardhi ya serikali. Hakuna aliyeporwa.
Del Monte inaifanyia kazi. Largest pineapple plantation this side of the Sahara. Thousands employed. Billions in pineapple and pineapple products exports.
Nyinyi mnawapora wawekezaji kwa sababu ya siasa. Ili rais awadanganye kwamba anafanya kazi. Ardhi inakaa bila kufanyiwa kazi. Tanzania inaendelea kuwa LDC.
Mbona Mungiki wameamua kuingilia kati na kumtisha Del Monte ili arudishe ardhi kwa wananchi, ina maana wao hawazioni hizo faida unazozitaja wewe?. Kenya bado inaongoza kwa ukosefu wa ajira, Ukosefu wa chakula, na wananchi wake kukosa ardhi ya kulima, wengi wamekimbilia Tanzania kutafuta ardhi wakati ardhi yenu mumewapa wazungu kulima mananasi. "Kenya not yet Uhuru".