Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Leo nimemkumbuka my rafiki yangu sio kipenzi kwa sababu alikuwa anakera sana.
1. Anaweza kuvaa brazia zako .
2. Kuvaa nguo zako hataka kama ni special kiasi gani .
Naakiharibu kitu anasema kwani si bahati mbaya unakasirika nini?
Halafu hupenda sana kulalamika bila sababu.
3. Hapendi wewe ukiwa na mtu anadai humpendi ndio maana ukawa na mchumba.
4.huyo mwanadada alikuwa hapendi kutoa hela zake kwa mtu.
5.anapenda kukukwaza kila siku.
Nimemkumbukwa kwa sababu alitoka dar na pia ndio dar asilimia kubwa wanapenda kuwaonea watu.
Yaani wao hawaoni kuwa wanatakiwa kujituma yaani wao wanataka ujitume kwa ajili yao wao wakiwa busy kusimanga watu na kupiga picha kujiremba nakupenda sana mapenzi na fujoo.
Halafu wenyeji wakija huko ndio wanafanikiwa maana wanajua kuwa ndio maisha yamewaleta hapo.