Feisal2020
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 1,113
- 2,656
Kuna comment moja nimewahi kuiona humu JF jamaa alisema yeye hawezi kumuamini mtu anaeishi Dar, hata ndugu au rafiki yake akihamia Dar anaanza kuishi nae kimachalemachale [emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si unaona mlivyo wababe🙆🙆🙆[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Saa hii hakuna kuvaliana...Ni kuchukua kabisa...
Naomba lift
Dar haitakangi Lelemama[emoji1787]Si unaona mlivyo wababe[emoji134][emoji134][emoji134]
Kelele zinaweza zisiwepo ila manung'uniko moyoni na kusimangwa kwa watu wengineWanaume wanaweza kubebana room mtu zaidi ya 7 na usisikie kelele.Ndugu zetu wawili tu kelele kama wamemeza vocha.
Kumbe we mpoleMi hakuwa rafiki ila room-mate, alikuwa hana aibu yule dada,,Yani nilipokuwa nikienda darasani akawa anachukua mchele wangu anapika kwa kutumia vyombo na kila kitu changu,, anakula na marafiki zake pasipo kunibakizia hata kijiko cha chakula na ananiachia vyombo vichafu,,, alinichukulia poa sababu nilikuwa kidogo dogo wakati ule,, na upole pia,,, hata ulalamike au umtukane vipi mwenzio anacheka tu,, nilipojua jinsi ya kudeal nae alihama chumba hadi hostel,, hana hamu na mimi mbwa yule
Sio kwa sasaKumbe we mpole
Aaah una haribu sasASio kwa sasa
Ulimwengy hautaki watu wapole, hauna faida ni ubabe tu kwa kwenda mbereAaah una haribu sasA
Ulimwengy hautaki watu wapole, hauna faida ni ubabe tu kwa kwenda mbere
Ndo mpaka unichokoze sasaNapendaga wababe 😁😁
me na mabinti damu damu😁😁Ndo mpaka unichokoze sasa