GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kuna Timu moja ya Wasomi na Wastaarbu Tanzania nzima ilipongezwa na Rais wa FIFA Giani Infantino kwa Kuchukua Kwake Ubingwa mwaka jana na hata kufikia Robo Fainali ya CAFCL lakini wala Mashabiki, Wanachama na Wapenzi wake 'hawakujimwambafai' nayo kwani waliona ni Kitendo cha Kawaida sana tu Kwao.
Kweli jana ndiyo niliamini kuwa Ushamba ni Mzigo kwa Watu fulani na kumbe wakidharaulika huwa wanastahili mno.
Kweli jana ndiyo niliamini kuwa Ushamba ni Mzigo kwa Watu fulani na kumbe wakidharaulika huwa wanastahili mno.