Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana,angalia usiehuke kwa kwa ushindi wa yangaKuna Timu moja ya Wasomi na Wastaarbu Tanzania nzima ilipongezwa na Rais wa FIFA Giani Infantino kwa Kuchukua Kwake Ubingwa mwaka jana na hata kufikia Robo Fainali ya CAFCL lakini wala Mashabiki, Wanachama na Wapenzi wake 'hawakujimwambafai' nayo kwani waliona ni Kitendo cha Kawaida sana tu Kwao.
Kweli jana ndiyo niliamini kuwa Ushamba ni Mzigo kwa Watu fulani na kumbe wakidharaulika huwa wanastahili mno.
KUKWITI ndio kufanya nini???
Kukazwa Kwako.KUKWITI ndio kufanya nini???
Hata hiyo Certificate sina na sina Elimu yoyote ile, lakini nashangaa aliyekuzaa ananipenda kweli kweli Kibaiolojia.Naona umeamua kumshambilia Certificate Holder...
[emoji3][emoji3]
Tuliza kipapa mshua,mnaambiwa mjifunze kupitia Yanga...bisha utabaki hapo mpk sisi walee twaruka pruuuu.
Sawa MbumbumbuKujifunza kwa hilo basi la kukokdi la Uganda? Ushamba mbaya sana.
Hakuna mafanikio yoyote ambayo Yanga wataanzisha bila kwanza kuiga mafanikio ya Simba. Kwenye kila mafanikio, ubunifu nk, Simba huanza baadae Uto huiga. Tunasubiri kama mutaiga Kimataifa!
Hata mabadiliko ya kimfumo, Simba ilianza na sasa Uto wanaanza kuiga!
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Mwajuma punguza JAZBAKukazwa Kwako.