GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Uto akili zao wanazijua wenyewe. Wao wanafikiri kila aliyekuwa pale alikuwa mwanayanga.Timu ya wananchi.
Sisi tuna watu
Klabu ya vichaa huwa ina mambo ya ukichaa kichaa tu.Na tumemfuata Pisto Mosimane kwenye page yake kumualika aje kwenye fainali ya Yanga vs Coastal union ajionee mitetemo ya Mayele live
Labda anayekuja ni Pitso Mosimane wa Tandale Uzuri ila huyu ninayemjua Mimi hawezi kupoteza muda kuja Kuwatizama.Na tumemfuata Pisto Mosimane kwenye page yake kumualika aje kwenye fainali ya Yanga vs Coastal union ajionee mitetemo ya Mayele live
Cha ajabu ametujibu kuwa atakuja kwenye mechi ya Simba vs Yanga
Uto akili zao wanazijua wenyewe. Wao wanafikiri kila aliyekuwa pale alikuwa mwanayanga.
Mambo mengine ni kutumia akili.
Labda anayekuja ni Pitso Mosimane wa Tandale Uzuri ila huyu ninayemjua Mimi hawezi kupoteza muda kuja Kuwatizama.
Mwaisela na Sewahaji zote ni Muhimbili tu acha Ubwege na Upimbi tafadhali.*Kuwatazama
Heeee! Mkuu hili jambo limefika hadi B/R FootballInabidi kuzoea maumivu tu hakuna namna..View attachment 2274028
Hakuna namna katika hiliHaina jinsi..View attachment 2274029
Hata mimi nimeshangaa Yanga kupambwa kiasi hiki itakuwa GSM wametembeza bahasha haiwezekani Afrika nzima na mitandao mikubwa kuwapa promo Yanga tu .Heeee! Mkuu hili jambo limefika hadi B/R Football
Kweli inabidi wazoee tu mama FA linakuja soon na maumivu yataongezeka .Hakuna namna katika hili
Hii ni uhakika GSM bahasha zake zimehusikaHata mimi nimeshangaa Yanga kupambwa kiasi hiki itakuwa GSM wametembeza bahasha haiwezekani Afrika nzima na mitandao mikubwa kuwapa promo Yanga tu .
Hiyo FA ndio itakuwa balaa zitoKweli inabidi wazoee tu mama FA linakuja soon na maumivu yataongezeka .