Na siku Kocha Pitso Mosimane "akikwiti' kuwa hamna Akili na hamjui Kucheza Kimataifa pia mje Mshangilie na Kupongezena

Tuliza kipapa mshua,mnaambiwa mjifunze kupitia Yanga...bisha utabaki hapo mpk sisi walee twaruka pruuuu.
 
Pole sana,angalia usiehuke kwa kwa ushindi wa yanga
 
Naona umeamua kumshambilia Certificate Holder...

[emoji3][emoji3]
Hata hiyo Certificate sina na sina Elimu yoyote ile, lakini nashangaa aliyekuzaa ananipenda kweli kweli Kibaiolojia.
 
Tuliza kipapa mshua,mnaambiwa mjifunze kupitia Yanga...bisha utabaki hapo mpk sisi walee twaruka pruuuu.

Kujifunza kwa hilo basi la kukokdi la Uganda? Ushamba mbaya sana.
Hakuna mafanikio yoyote ambayo Yanga wataanzisha bila kwanza kuiga mafanikio ya Simba. Kwenye kila mafanikio, ubunifu nk, Simba huanza baadae Uto huiga. Tunasubiri kama mutaiga Kimataifa!
Hata mabadiliko ya kimfumo, Simba ilianza na sasa Uto wanaanza kuiga!
 
Sawa Mbumbumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…