Na sisi wakatoliki tunaomba kilatini kiingizwe kwenye mtaala kama kiarabu kilivyo ingizwa kwa ajili ya waislam

kwa sisi wakatoliki tunaitaka serikali ya dr. Samia, aingize kilatini katika mitaala yetu.
Japo najua kiarabu kitafutwa siku raisi mwingine akiapishwa.
Si moja ya Lugha huko UN
 
Kiarabu kimeingia Ili upate kuifahamu vizuri lugha yako ya kiswahili. Ukitaka ukweli kiswahili mnakijua juu juu tu.
Kiingereza kipo tayari na kina maneno asilimia kubwa ya maneno ya kilatini, kwa hiyo kilatini kipo tayari.
Kiarabu ni moja ya lugha rasmi za umoja wa mataifa.
Safisha roho ndugu, Tanzania Ina nafasi kubwa kwa watanzania wote.

The United Nations uses six official languages: Arabic, Chinese, English, French, Russian, and Spanish. These languages are used in all UN meetings and for official documents
 
Achac uongo.
 
Si moja ya Lugha huko UN
Hapa bongo ifundishwe mashuleni
Kiarabu kimeingia Ili upate kuifahamu vizuri lugha yako ya kiswahili. Ukitaka ukweli kiswahili mnakijua juu juu tu.
Kiingereza kipo tayari na kina maneno asilimia kubwa ya maneno ya kilatini, kwa hiyo kilatini kipo tayari.
Kiarabu ni moja ya lugha rasmi za umoja wa mataifa.
Safisha roho ndugu, Tanzania Ina nafasi kubwa kwa watanzania wote.

The United Nations uses six official languages: Arabic, Chinese, English, French, Russian, and Spanish. These languages are used in all UN meetings and for official documents
wewe tahira nenda huko hamas au taliban ukawasaidie kujitoa mhanga upate bikra 72. Nan amekuambia wakatoliki tunashida na hicho kiarabu
 
Haa Haa
Uchaguzi Ukiisha Manorbier Haya Yatakwenda Bungeni KwA Hati Ya Dharura
 
sisi wakatoliki sio wadini ndio maana hatulalamiki ila tumekuja kuiomba serikali ya awamu ya sita utuwezeshe kujua kilatini tusome na sisi biblia ya kale iliyo andikwa kilatini
Kama lengo nikuisoma bible siusometu. Kwani kuna zuio?
 
Hebu orodhesha lugha zinazozungumzwa na watu wengi zaidi kama utaacha kiarabu.
Acheni chuki za kidini vijana.
 
kwa sisi wakatoliki tunaitaka serikali ya dr. Samia, aingize kilatini katika mitaala yetu.
Japo najua kiarabu kitafutwa siku raisi mwingine akiapishwa.
na sisi pia wenye dini za asili zilizokutwa na kupigwa vita na madhhebu ya kikiristo, tuzingatiwe kwa huo mtaala
 
Back
Top Bottom