njiwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 13,144
- 6,942
Si moja ya Lugha huko UNkwa sisi wakatoliki tunaitaka serikali ya dr. Samia, aingize kilatini katika mitaala yetu.
Japo najua kiarabu kitafutwa siku raisi mwingine akiapishwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si moja ya Lugha huko UNkwa sisi wakatoliki tunaitaka serikali ya dr. Samia, aingize kilatini katika mitaala yetu.
Japo najua kiarabu kitafutwa siku raisi mwingine akiapishwa.
Achac uongo.Kiarabu kimeingia Ili upate kuifahamu vizuri lugha yako ya kiswahili. Ukitaka ukweli kiswahili mnakijua juu juu tu.
Kiingereza kipo tayari na kina maneno asilimia kubwa ya maneno ya kilatini, kwa hiyo kilatini kipo tayari.
Kiarabu ni moja ya lugha rasmi za umoja wa mataifa.
Safisha roho ndugu, Tanzania Ina nafasi kubwa kwa watanzania wote.
The United Nations uses six official languages: Arabic, Chinese, English, French, Russian, and Spanish. These languages are used in all UN meetings and for official documents
Hapa bongo ifundishwe mashuleniSi moja ya Lugha huko UN
wewe tahira nenda huko hamas au taliban ukawasaidie kujitoa mhanga upate bikra 72. Nan amekuambia wakatoliki tunashida na hicho kiarabuKiarabu kimeingia Ili upate kuifahamu vizuri lugha yako ya kiswahili. Ukitaka ukweli kiswahili mnakijua juu juu tu.
Kiingereza kipo tayari na kina maneno asilimia kubwa ya maneno ya kilatini, kwa hiyo kilatini kipo tayari.
Kiarabu ni moja ya lugha rasmi za umoja wa mataifa.
Safisha roho ndugu, Tanzania Ina nafasi kubwa kwa watanzania wote.
The United Nations uses six official languages: Arabic, Chinese, English, French, Russian, and Spanish. These languages are used in all UN meetings and for official documents
Zaidi ya madawa ya kulevyaDini zinalevya vibaya mno
Kama lengo nikuisoma bible siusometu. Kwani kuna zuio?sisi wakatoliki sio wadini ndio maana hatulalamiki ila tumekuja kuiomba serikali ya awamu ya sita utuwezeshe kujua kilatini tusome na sisi biblia ya kale iliyo andikwa kilatini
Kwani kuomba kusoma kilatini mpaka kuwe na zuioKama lengo nikuisoma bible siusometu. Kwani kuna zuio?
Wangefanya mapemaHaa Haa
Uchaguzi Ukiisha Manorbier Haya Yatakwenda Bungeni KwA Hati Ya Dharura
Mimi sijaomba kifutwe nimeomba kilatini kiongezwe wewe kenge tabla lasa kichwa panziHebu orodhesha lugha zinazozungumzwa na watu wengi zaidi kama utaacha kiarabu.
Acheni chuki za kidini vijana.
na sisi pia wenye dini za asili zilizokutwa na kupigwa vita na madhhebu ya kikiristo, tuzingatiwe kwa huo mtaalakwa sisi wakatoliki tunaitaka serikali ya dr. Samia, aingize kilatini katika mitaala yetu.
Japo najua kiarabu kitafutwa siku raisi mwingine akiapishwa.
Tunakitumia wakatolikiKilatini kinatumika nchi gani Mkuu?
Hili ombi apelekewe mwashambwa alifikishe kwa bosi wakena sisi pia wenye dini za asili zilizokutwa na kupigwa vita na madhhebu ya kikiristo, tuzingatiwe kwa huo mtaala
Hakiwezi kufa wakatoliki tunakazi nachoKilatini ni.lugha inayoelekea kufa. Lugha huzaliwa hukua, na hufa
Haswaa , wote taifa ni letuMama afanye hima na sisi wakatoliki tuungane na lucas mwashambwa tububujikwe na machozi ya furaha.