Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Mbona kama huamini anaishi JapanKuna dada anajiita "Rachel" anadai anaishi Japan watanzania wengi inasemekana wanamfuatilia huko TikTok kwa kunyatia...ππππ
Na wewe unamfuatilia yule Recho wa TikTok?
Isije akawa kama yule ambae anajiita somebody mtetezi,maana alitugeuka dakika za jioni na mpaka leo sina hamu nae.Kuna dada anajiita "Rachel" anadai anaishi Japan watanzania wengi inasemekana wanamfuatilia huko TikTok kwa kunyatia...ππππ
Na wewe unamfuatilia yule Recho wa TikTok?
Kigg14Isije akawa kama yule ambae anajiita somebody mtetezi,maana alitugeuka dakika za jioni na mpaka leo sina hamu nae.
Hapana... Mtetezi wetu πππKigg14