Smiles
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 1,231
- 107
katibu umekiuka miiko ya chama hapo!.... benefit of doubt?
:confused2::confused2::confused2::confused2::confused2:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
katibu umekiuka miiko ya chama hapo!.... benefit of doubt?
Mnaona sasa? Mnaturahishia njia wenyewe. Hoja yangu mimi ni lunch.....ya kwako infidelity? Nani am-doubt mwenzie kati yetu!
Inbox yako kwenye PM yako imekula ban? Hebu kaikague!
OK...slowly there!
am tryin to understand correctly hapa!!
ODM = Big Brother Asprin (sipati ratio hapo...vigezo ulivyotumia kubadilisha hizo initials> B - ikawa O....? :confused2:
MDC = Infidelitee Smiles (same case...and still we are missin one initial...C :confused2: and ever more confused....
Lets try again plz.....
Kiongozi mkuu wa ISC hasemi uongo (u have been warned again)!😡
You have also been WARNED....toa maelekezo yanayoeleweka tafadhali :mad2:
Si unajua kusoma lakini?
Mmh.... what a way to speak with kiongozi mwenza.....:confused2:
dah... hapo mie nasema no (sijarejea sheria zinasemaje)Mi nimeuliza swali!! Inaruhusiwa kwa mwanaJF kumtafuna mwanaJF mwenzake? if yes naweza fikiria kutoka katika kustaafu kwa ajili ya kukutempt urudi kwenye chama chako. Na wewe utapaswa kuonyesha nia ya kweli ya kuacha kutamani na kumcha BWANA. (Mind you, you will not get me to bed you but at least nitafanikiwa kukuleta kwa kitanda, nitakuchojoa na kukuacha solemba kama nilivyokuwa nafanya zamani enzi zangu za kuwa katika game).
Hebu mwambie MOD Smiles anifungulie basi....
dah... hapo mie nasema no (sijarejea sheria zinasemaje)
ukishaanza hayo basi kwenye vikao itakua ni mambo ya kuhamisha meza tu, balaah
Hahahahaha! Kamanda nimecheka mpaka baaaaaasi!
Hivi leo si ni ijumaa? Leta ratiba mhazini...
Sitaki kukutana na INFI kama niliyokutana nayo ijumaa khaaa!!!!! Haitaki kurudi sijui game la leo litakuwaje BARCELONA vs YANGA halafu matokeo YANGA 5 BARCELONA 1
Hivi leo si ni ijumaa? Leta ratiba mhazini...
Hivi graduation yako ni lini? Nitahakikisha siku unapata kampani ya Smiles....
Hivi graduation yako ni lini? Nitahakikisha siku unapata kampani ya Smiles....
ratiba yenu mbona inajulikana?
Nataka niifanye December 31 by that time Smiles atakuwa tayari ameisha😛reggers:😛reggers: