ngongoti2000
JF-Expert Member
- Nov 20, 2017
- 2,236
- 2,142
Baada ya kuacha kuangalia bongo movies na series kwa.muda mrefu kuna siku nikaambiwa sasa wapo vyema wamekuja upya ndani ya sinema.zetu Azam TV..wakati huo kuna tamthilia ya Single Mother na Panguso...kweli nilizifuatilia zilikuwa hot...lakini baada ya kuisha zile tamthilia ..naona sasa wamerudia utopolo ..sasa kuna tamthilia hazielweki kabisa kama vile Ahadi na Ndoano....cha ajabu ndani yake kuna mastaa wazuri tu lakini sijui wanakwama wapi..zinaboa mno....tatizo ni nini wadau?