Naacha tena kuangalia tamthilia za kibongo

Naacha tena kuangalia tamthilia za kibongo

ngongoti2000

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2017
Posts
2,236
Reaction score
2,142
Baada ya kuacha kuangalia bongo movies na series kwa.muda mrefu kuna siku nikaambiwa sasa wapo vyema wamekuja upya ndani ya sinema.zetu Azam TV..wakati huo kuna tamthilia ya Single Mother na Panguso...kweli nilizifuatilia zilikuwa hot...lakini baada ya kuisha zile tamthilia ..naona sasa wamerudia utopolo ..sasa kuna tamthilia hazielweki kabisa kama vile Ahadi na Ndoano....cha ajabu ndani yake kuna mastaa wazuri tu lakini sijui wanakwama wapi..zinaboa mno....tatizo ni nini wadau?
 
Kuna tamthiliya inaitwa mama kimbo.Humo ndani kuna dogo wa kuitwa kimbembe..Yule jamaa anachamba kuliko waimba taarabu asee
 
JamiiForums-1183951391.jpg
 
Nilijaribu kuangalia hio Ahadi siku moja ilikua weekend nadhani ilikua marudio so kulikua na episodes kadhaa.... Asee ni utopolo mtupu, huyo Idris ndo hamna kitu kabisa sijui hata wamempaje uhusika.
 
Back
Top Bottom