Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,704
Ni pmNataka nisemwe nimechoka uzururaji na acha ubachella nakuwa double nipo serious.
Nimechoka usingle ambao haueleweki na kibabu kwendraa nakuacha na wewe unasoma huu ujumbe naisi good day
Kanichekesha ππππ ila na mi nadhani natakiwa kuacha ubachelaπUnacheka nn?
Wewe ni washetani tena moto wako unakusubiri na uzinzi wakoShindwa aisee mimi sio mtoto wa shetani nikome
Mwenzio yupo serious.Kanichekesha ππππ ila na mi nadhani natakiwa kuacha ubachelaπ
Nami niko seriousMwenzio yupo serious.
Kwann uuache ubachela? π π π
Nasubiria kuona tangazo lako kule love connect, nione vigezo na msharti yako π π πNami niko serious
Ili niache kulala mwenyewe ππniwe napewa na kodi ya meza
Sijafikia hatua hiyo πππππNasubiria kuona tangazo lako kule love connect, nione vigezo na msharti yako π π π
Kumbe ile ni hatua ya juu kabisa?? π πSijafikia hatua hiyo πππππ
Ukishakuwa umejikatia tamaaa to the maximumKumbe ile ni hatua ya juu kabisa?? π π
π π π π Aisee sikuwa najua. Kumbe ndio tafsiri yake? Basi ngoja nihairishe, bandiko nililokuwa nataka nikaliweke πUkishakuwa umejikatia tamaaa to the maximum
The women "celebrating" the so-called Women's day are the same women that:Nataka nisemwe nimechoka uzururaji na acha ubachella nakuwa double nipo serious.
Nimechoka usingle ambao haueleweki na kibabu kwendraa nakuacha na wewe unasoma huu ujumbe naisi good day
Kaweke tu my wanguπ π π π Aisee sikuwa najua. Kumbe ndio tafsiri yake? Basi ngoja nihairishe, bandiko nililokuwa nataka nikaliweke π
Ushaniambia ile ni level ya juu sana. Sijafika huko π π π πKaweke tu my wangu
who knowsUshaniambia ile ni level ya juu sana. Sijafika huko π π π π
Ngoja niendelee kusubiria na mm π πwho knows
Jiachie my wanguNgoja niendelee kusubiria na mm π π
Tatizo umenitisha ww. Ungeenda kunicheka kwenye tangazo langu π π πJiachie my wangu
Nakuapia ntakupa promo sanaTatizo umenitisha ww. Ungeenda kunicheka kwenye tangazo langu π π π