Naachaje kuchepuka ?

Naachaje kuchepuka ?

Kama kichwa kinavyojieleza!
Mimi ni kijana nipo katikati ya miaka ya 30's na nina mke na watoto wawili.

Nikiri yakuwa mke wangu ni mzuri sana na mwema sana kwangu, mishahara yetu tunaiweka kwenye acc moja kwaajili ya maendeleo yetu na wanetu, haendi wala kufanya chochote bila kuniambia, kwa kifupi ni mwema sana kwangu!.

Na mimi pia kama baba ndani ya nyumba najitahidi kadri ya uwezo wangu kuwa mwema na uchafu wote ninaoufanya hajawahi hata kuhisi mimi ni msiri mno na ninaochepuka nao ninawaambia nina mke sitaki usimbufu home time!

Najitahidi sana nisitumie rasilimali tunazochuma pamoja kula na michepuko hivyo nafanya kila namna/manuva nipate extra money kwaajili ya michepuko out of our normal earnings!

Baada ya ndoa niliweza kukaa 3 years without to cheat but baada ya kukutana na ex wangu wa o level nikajikuta naanza uchafu ambao nilishaungama/kutubu.
Nikiri tu kabla ya ndoa nilikuwa kicheche nisiyepitwa na sauti mpya ila niliamini nikioa nitaacha.

Nikaoa nikajitahidi but now ndio kama nimechokoza yani nimekuwa kicheche kuliko ambao hawajaoa japo nafanya kwa siri sana hakuna anayeweza jua zaidi yangu na ninayemla mbaya zaidi ninaofanya nao kwa uzuri hawamfikii mke wangu hata robo.

Kinachoniuma sio rasilimali ninazozitumia, magonjwa wala mda ila naumia sana kuona nashindwaje kuacha uzinzi, naisaliti ndoa yangu na namsaliti mke wangu ambaye ninampenda sana!
Nikiri ninampenda sana ila namsaliti bila huruma.

Nakosea wapi wakuu!
Naomba ushauri utoke kwa waliooa na walioolewa tu!
Madogo kuweni myaone.
Unakosea kufikiri kwamba unakosea.....Mungu aliumba Adam na Hawa ( siyo Huyu)..manake mwanaume mmoja kwa wanawake wengi...nini ambacho hukielewi hapo?
 
Kama unajitahidi kuacha dhambi fulani na unashindwa, basi hilo ni tatizo la kiroho. Nenda kwa mchungaji wako na umwambie unajitahidi kuacha dhambi lkn unashindwa. Atakushauri, kukuombea na kukuongoza kwa Yesu, uanze maisha mapya.

Vv
 
Uache Kuchepuka halafu ufanye nini? Hebu acha hizo michepuko inaimarisha ndoa...
 
Humpendi Mkeo.....hakika ukimpenda pepo la michepuko linapita mbali na wewe...linaweza kuja...ukipambana nalo kwa kumpandisha juuu juuu juuu zaidi mkeo...linahamia kwa jirani.....
Nikimpandishaje
 
Uache Kuchepuka halafu ufanye nini? Hebu acha hizo michepuko inaimarisha ndoa...

You were one of my outside chick using diff ID
Kumbe unatamani niendelee but mm nimechoka nimefanya sana lakn hakuna nilichokipata zaidi ya kupoteza rasilimali na mda tu nahitaji kumrudia Mungu wengi wamekufa kwa Ukimwi ila mi nimeponea
 
Kama kichwa kinavyojieleza!
Mimi ni kijana nipo katikati ya miaka ya 30's na nina mke na watoto wawili.

Nikiri yakuwa mke wangu ni mzuri sana na mwema sana kwangu, mishahara yetu tunaiweka kwenye acc moja kwaajili ya maendeleo yetu na wanetu, haendi wala kufanya chochote bila kuniambia, kwa kifupi ni mwema sana kwangu!.

Na mimi pia kama baba ndani ya nyumba najitahidi kadri ya uwezo wangu kuwa mwema na uchafu wote ninaoufanya hajawahi hata kuhisi mimi ni msiri mno na ninaochepuka nao ninawaambia nina mke sitaki usimbufu home time!

Najitahidi sana nisitumie rasilimali tunazochuma pamoja kula na michepuko hivyo nafanya kila namna/manuva nipate extra money kwaajili ya michepuko out of our normal earnings!

Baada ya ndoa niliweza kukaa 3 years without to cheat but baada ya kukutana na ex wangu wa o level nikajikuta naanza uchafu ambao nilishaungama/kutubu.
Nikiri tu kabla ya ndoa nilikuwa kicheche nisiyepitwa na sauti mpya ila niliamini nikioa nitaacha.

Nikaoa nikajitahidi but now ndio kama nimechokoza yani nimekuwa kicheche kuliko ambao hawajaoa japo nafanya kwa siri sana hakuna anayeweza jua zaidi yangu na ninayemla mbaya zaidi ninaofanya nao kwa uzuri hawamfikii mke wangu hata robo.

Kinachoniuma sio rasilimali ninazozitumia, magonjwa wala mda ila naumia sana kuona nashindwaje kuacha uzinzi, naisaliti ndoa yangu na namsaliti mke wangu ambaye ninampenda sana!
Nikiri ninampenda sana ila namsaliti bila huruma.

Nakosea wapi wakuu!
Naomba ushauri utoke kwa waliooa na walioolewa tu!
Madogo kuweni myaone.
Hujaamua kutoka ndani mkuu hata mimi nimeoa kama wewe lakini simsaliti mke wangu haya mambo ni maamuzi tu bro inawezekana kabisa tena imagine wife yupo mbali nami lakini navumilia wewe unashindwa nini?karibu pm tushauriane mawili 3
 
You were one of my outside chick using diff ID
Kumbe unatamani niendelee but mm nimechoka nimefanya sana lakn hakuna nilichokipata zaidi ya kupoteza rasilimali na mda tu nahitaji kumrudia Mungu wengi wamekufa kwa Ukimwi ila mi nimeponea
Safari njema naona mganga wa mkeo yupo njema sana.
 
You were one of my outside chick using diff ID
Kumbe unatamani niendelee but mm nimechoka nimefanya sana lakn hakuna nilichokipata zaidi ya kupoteza rasilimali na mda tu nahitaji kumrudia Mungu wengi wamekufa kwa Ukimwi ila mi nimeponea

Chaaaa jamani [emoji23][emoji23]
 
Be mature stop ur nonsense,,,,,coz ur age u supposed to be good to ur family..Amua kutoka ndani na badilika everything is possible,,,,Uzinifu ni kujiendekeza tu kitabia icho
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unachokosea ni Kumsaliti mkeooo...!! Pia suala la kuacha uzinzi ni la mtu binafsi kuamua tuu... Ridhika na mkeooo maana hakuna aelikamilikaa...utatamani mwenye matako hajui kitu zaidi ya kuspend hela tu...
Alafu kuna jamaa angu mmoja tulisoma nae advance alikua anajiita rikiboy , nahisi utakua ni ww
 
Daah mkuu ,umevaa uhalisia wangu kabisa each and everything

Nilipanga nije na uzi humu tokea juzi baada ya kuona ninekua nikichepuka mnoo ,

Kiukwel nigusie tu sisi wanaume kuchepuka haimaaanishi hatuwapendi wake zetu , au haturidhishwi na wake zetu bali ni kitu ambacho kipo ndani ya damu yetu

Anyway ukiiipata dawa ya kuacha kuchepuka hemu nipe na mm mkuu
 
Unajuaje mke anamwona jamaa mwema?
Kuna wakati unaona kabisa hayupo kwenye mstari
Unamuacha mpaka ajae kwenye 18
Wewe unajuaje mke hamwoni jamaa mwema?

Usiseme nimekujia na ID mpya..sheikh ni yule yule kilivhobadilika kanzu tu.
 
Back
Top Bottom