ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Huwa kila siku tunajifunza, nina jamaa ana bonge la wife, yaani mke wake ni mzuri sana. Ukimuona tu lazima umtazame tena, lakini to my surprise jamaa ni mchepukaji number one. Halafu akikuonyesha clips anazotuhumiwa na hao mahawara zake, ni wa kawaida tu lakini anawala balaa.
Kuacha ku-cheat ni maamuzi tu, tena maamuzi ya kujikana nafsi hadi uzoee hali ya kuishi na mtu mmoja, regardless anakupa punani kila ukimhitaji au anakubania. Wengine wana wake ambao sio fans wa kufanywa kila siku lakini wametulia tu na wake zao.
Dunia hii ridhika tu na kile ulichopewa, ukiwa mroho sana utaishia kuumia tu.