Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaaaWewe mwenyewe mgeni sio??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaaaWewe mwenyewe mgeni sio??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
AsanteMwanamke anaweza kaa miaka kumi akawa anachepuka na usijue aiseee hawa viumbe achana nao kabisa yeye anaweza akamwambia mwanaume usipige simu mpaka nikwambie mwanaume akatii lakin kwa upande wetu Kuna wanawake visoi balaaa hata umwambie haelew somo take care sana
Sasa kama ulijua hutopata ushauri wa maana ulikuja kufanya nini? Ujue mambo mengine hayashauriki, hiyo tabia unaifanya ukiwa na akili timamu yaani unaamua na unaondoka kwa miguu yako unaenda kutenda dhambi kwa hiyo mwenye kuamua kutofanya ni wewe, hata ungeombewa au kushauriwaa na Yesu mwenyewe kama hujaamua mwenyewe kwa dhati ni sawa na kutwanga maji kwenye kinuSio kwa Jf
Kama kichwa kinavyojieleza!
Mimi ni kijana nipo katikati ya miaka ya 30's na nina mke na watoto wawili.
Nikiri yakuwa mke wangu ni mzuri sana na mwema sana kwangu, mishahara yetu tunaiweka kwenye acc moja kwaajili ya maendeleo yetu na wanetu, haendi wala kufanya chochote bila kuniambia, kwa kifupi ni mwema sana kwangu!.
Na mimi pia kama baba ndani ya nyumba najitahidi kadri ya uwezo wangu kuwa mwema na uchafu wote ninaoufanya hajawahi hata kuhisi mimi ni msiri mno na ninaochepuka nao ninawaambia nina mke sitaki usimbufu home time!
Najitahidi sana nisitumie rasilimali tunazochuma pamoja kula na michepuko hivyo nafanya kila namna/manuva nipate extra money kwaajili ya michepuko out of our normal earnings!
Baada ya ndoa niliweza kukaa 3 years without to cheat but baada ya kukutana na ex wangu wa o level nikajikuta naanza uchafu ambao nilishaungama/kutubu.
Nikiri tu kabla ya ndoa nilikuwa kicheche nisiyepitwa na sauti mpya ila niliamini nikioa nitaacha.
Nikaoa nikajitahidi but now ndio kama nimechokoza yani nimekuwa kicheche kuliko ambao hawajaoa japo nafanya kwa siri sana hakuna anayeweza jua zaidi yangu na ninayemla mbaya zaidi ninaofanya nao kwa uzuri hawamfikii mke wangu hata robo.
Kinachoniuma sio rasilimali ninazozitumia, magonjwa wala mda ila naumia sana kuona nashindwaje kuacha uzinzi, naisaliti ndoa yangu na namsaliti mke wangu ambaye ninampenda sana!
Nikiri ninampenda sana ila namsaliti bila huruma.
Nakosea wapi wakuu!
Naomba ushauri utoke kwa waliooa na walioolewa tu!
Madogo kuweni myaone.
mdogo wangu nakushuari uwe unaandika bila kuongeza herufi zisizokuwepo kwenye maneno mfano tupatanee mzukaaMe mke wangu sioni sababu ya kumsaliti kabisa ndo maana nimetuliaa..tukigombana nafanya namna mpaka tupatanee..Tunda ananipa kila nikihitaji so sina mizukaa kabisa...
Lakini kuna mwingine anakutana nayo yale yale na hachepuki. Ma.laya ma.laya tuHakuna Cha tabia. Kuna mambo yanapelekea mtu achepuke. Iwe kwa mwanaume au mwanamke. Na ukiona mke anachepuka ujue kavumilia mengi..watu wanaitafuta furaha sehemu iliyopo
n mdogo wangu nakushuari uwe unaandika bila kuongeza herufi zisizokuwepo kwenye maneno mfano tupatanee mzukaa
Inategemea na tafsiri yako ya umalaya.Lakini kuna mwingine anakutana nayo yale yale na hachepuki. Ma.laya ma.laya tu
KabisaaaSasa kama ulijua hutopata ushauri wa maana ulikuja kufanya nini? Ujue mambo mengine hayashauriki, hiyo tabia unaifanya ukiwa na akili timamu yaani unaamua na unaondoka kwa miguu yako unaenda kutenda dhambi kwa hiyo mwenye kuamua kutofanya ni wewe, hata ungeombewa au kushauriwaa na Yesu mwenyewe kama hujaamua mwenyewe kwa dhati ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu
Huo huyo wa kuchepuka. Ni umalaya, na hiyo ni universal definition sio ya kwanguInategemea na tafsiri yako ya umalaya.
OkayHuo huyo wa kuchepuka. Ni umalaya, na hiyo ni universal definition sio ya kwangu
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Laaaaahaulaaaaa
kwanini mkuuDada wa kimasai, umeolewa??
Ndoa tamu sana ila wanandoa tunaziharibu
najiuliza mbona kijana wangu wa miaka mitano anaweza kuandika vizuri? hawa ni watoto wa 2000's[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah huwa napata hasira sana mtu akiandika kwa mtindo huo kumbe tuko wengi...tuvumilie tu ndio kizazi tulichonacho
Kama unavyojitahidi kujificha na kujitapa mkeo hajui.. na mkeo pia anajitapa hivyohivyo. Mmeshidwa kuona mabadiliko katika ndoa yenu sababu wote wa2 kuna ki2 mnafichana.. mke mwaminifu ni rahisi sana kumjua mme asiyemwaminifu and vice versa (ikishindikana basi wote sio waaminifu)Kama kichwa kinavyojieleza!
Mimi ni kijana nipo katikati ya miaka ya 30's na nina mke na watoto wawili.
Nikiri yakuwa mke wangu ni mzuri sana na mwema sana kwangu, mishahara yetu tunaiweka kwenye acc moja kwaajili ya maendeleo yetu na wanetu, haendi wala kufanya chochote bila kuniambia, kwa kifupi ni mwema sana kwangu!.
Na mimi pia kama baba ndani ya nyumba najitahidi kadri ya uwezo wangu kuwa mwema na uchafu wote ninaoufanya hajawahi hata kuhisi mimi ni msiri mno na ninaochepuka nao ninawaambia nina mke sitaki usimbufu home time!
Najitahidi sana nisitumie rasilimali tunazochuma pamoja kula na michepuko hivyo nafanya kila namna/manuva nipate extra money kwaajili ya michepuko out of our normal earnings!
Baada ya ndoa niliweza kukaa 3 years without to cheat but baada ya kukutana na ex wangu wa o level nikajikuta naanza uchafu ambao nilishaungama/kutubu.
Nikiri tu kabla ya ndoa nilikuwa kicheche nisiyepitwa na sauti mpya ila niliamini nikioa nitaacha.
Nikaoa nikajitahidi but now ndio kama nimechokoza yani nimekuwa kicheche kuliko ambao hawajaoa japo nafanya kwa siri sana hakuna anayeweza jua zaidi yangu na ninayemla mbaya zaidi ninaofanya nao kwa uzuri hawamfikii mke wangu hata robo.
Kinachoniuma sio rasilimali ninazozitumia, magonjwa wala mda ila naumia sana kuona nashindwaje kuacha uzinzi, naisaliti ndoa yangu na namsaliti mke wangu ambaye ninampenda sana!
Nikiri ninampenda sana ila namsaliti bila huruma.
Nakosea wapi wakuu!
Naomba ushauri utoke kwa waliooa na walioolewa tu!
Madogo kuweni myaone.
...........kwanini mkuu