Naachaje kuchepuka ?

Kumbe tupo wengi tunaofanya hivyo na tunatamani kuacha?
 
Wewe tena huwezi unachepuka alafu mbahili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na mkeo antafunwa kwa Siri sana sema tu hujui
 
Tupo wengi haupo pekee ako nakutia moyo
Mkuu pole sana
Itakuwa hujampenda mkeo


Mimi nikipata mke nitampenda sana
Sitahitaji ..... Nyingine badala yake nakula ya halali tu anayebisha anitafute aone.... Kunywa milenda iliyo tofauti tofauti si salama sana kwa afya ya mtumiaji.
 
Sio kweli mimi naweza gonga usiku na asubuhi kwa mke lakini jioni kabla yankurudi home nikachepuka hapo inakuwaje sasa
Tatizo si kugonga kila siku,bali ni kupewa kila siku ndio tatizo lilipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…