Naachaje kuchepuka ?

Naachaje kuchepuka ?

Daah mkuu ,umevaa uhalisia wangu kabisa each and everything

Nilipanga nije na uzi humu tokea juzi baada ya kuona ninekua nikichepuka mnoo ,

Kiukwel nigusie tu sisi wanaume kuchepuka haimaaanishi hatuwapendi wake zetu , au haturidhishwi na wake zetu bali ni kitu ambacho kipo ndani ya damu yetu

Anyway ukiiipata dawa ya kuacha kuchepuka hemu nipe na mm mkuu
Kumbe tupo wengi tunaofanya hivyo na tunatamani kuacha?
 
Wewe tena huwezi unachepuka alafu mbahili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daah mkuu ,umevaa uhalisia wangu kabisa each and everything

Nilipanga nije na uzi humu tokea juzi baada ya kuona ninekua nikichepuka mnoo ,

Kiukwel nigusie tu sisi wanaume kuchepuka haimaaanishi hatuwapendi wake zetu , au haturidhishwi na wake zetu bali ni kitu ambacho kipo ndani ya damu yetu

Anyway ukiiipata dawa ya kuacha kuchepuka hemu nipe na mm mkuu
 
Kama kichwa kinavyojieleza!
Mimi ni kijana nipo katikati ya miaka ya 30's na nina mke na watoto wawili.

Nikiri yakuwa mke wangu ni mzuri sana na mwema sana kwangu, mishahara yetu tunaiweka kwenye acc moja kwaajili ya maendeleo yetu na wanetu, haendi wala kufanya chochote bila kuniambia, kwa kifupi ni mwema sana kwangu!.

Na mimi pia kama baba ndani ya nyumba najitahidi kadri ya uwezo wangu kuwa mwema na uchafu wote ninaoufanya hajawahi hata kuhisi mimi ni msiri mno na ninaochepuka nao ninawaambia nina mke sitaki usimbufu home time!

Najitahidi sana nisitumie rasilimali tunazochuma pamoja kula na michepuko hivyo nafanya kila namna/manuva nipate extra money kwaajili ya michepuko out of our normal earnings!

Baada ya ndoa niliweza kukaa 3 years without to cheat but baada ya kukutana na ex wangu wa o level nikajikuta naanza uchafu ambao nilishaungama/kutubu.
Nikiri tu kabla ya ndoa nilikuwa kicheche nisiyepitwa na sauti mpya ila niliamini nikioa nitaacha.

Nikaoa nikajitahidi but now ndio kama nimechokoza yani nimekuwa kicheche kuliko ambao hawajaoa japo nafanya kwa siri sana hakuna anayeweza jua zaidi yangu na ninayemla mbaya zaidi ninaofanya nao kwa uzuri hawamfikii mke wangu hata robo.

Kinachoniuma sio rasilimali ninazozitumia, magonjwa wala mda ila naumia sana kuona nashindwaje kuacha uzinzi, naisaliti ndoa yangu na namsaliti mke wangu ambaye ninampenda sana!
Nikiri ninampenda sana ila namsaliti bila huruma.


Nakosea wapi wakuu!
Naomba ushauri utoke kwa waliooa na walioolewa tu!
Madogo kuweni myaone.
Na mkeo antafunwa kwa Siri sana sema tu hujui
 
Tupo wengi haupo pekee ako nakutia moyo
Mkuu pole sana
Itakuwa hujampenda mkeo


Mimi nikipata mke nitampenda sana
Sitahitaji ..... Nyingine badala yake nakula ya halali tu anayebisha anitafute aone.... Kunywa milenda iliyo tofauti tofauti si salama sana kwa afya ya mtumiaji.
 
Sio kweli mimi naweza gonga usiku na asubuhi kwa mke lakini jioni kabla yankurudi home nikachepuka hapo inakuwaje sasa
Tatizo si kugonga kila siku,bali ni kupewa kila siku ndio tatizo lilipo
 
Back
Top Bottom