Naachaje kuchepuka ?

Nilicho jifunza mimi nikuwa bado unaipenda familia yako,bado unaipenda ndoa yako. Kama bado unaipenda ndoa yako na familia yako.Je huoni kama ni nonsense kuchepuka? (tatizo hapo ni kukosekana rational thiking) kama magufuli alivyo irrational.
 
Great thinker, umeshindwa kuacha hii, ungeingia kwenye punyeto ungepiga mpaka kaburini, hii ndo ngumu kuacha
 
Nashindwa kuelewaga watu mnaooa na kutimiziwa haja zote na wake zenu ila still mnachepuka huwa mnatafuta nini nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…