Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,584
- Thread starter
- #221
Mambo yenyewe haya wacha niendelee kuchepuka na wanaume za watu
Alafu hata wewe nimekukosakosa hatari nusu nije Dom
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo yenyewe haya wacha niendelee kuchepuka na wanaume za watu
Sio kweli mimi naweza gonga usiku na asubuhi kwa mke lakini jioni kabla yankurudi home nikachepuka hapo inakuwaje sasa
[emoji4]but sijamanisha vibaya mkuu,,,just stop that Baki njia KuuAsante
Unashindwa kuvumia siku 3-5?Akiwa siku zake vipi unaponea wapi?
Com.kizaziUnashindwa kuvumia siku 3-5?
InashangazaCom.kizazi
Mabinti ambao hawajielewi wamelukwa ukuta pia kwa kisingizio hichi just kuridhisha watu waoInashangaza
Great thinker, umeshindwa kuacha hii, ungeingia kwenye punyeto ungepiga mpaka kaburini, hii ndo ngumu kuachaKama kichwa kinavyojieleza!
Mimi ni kijana nipo katikati ya miaka ya 30's na nina mke na watoto wawili.
Nikiri yakuwa mke wangu ni mzuri sana na mwema sana kwangu, mishahara yetu tunaiweka kwenye acc moja kwaajili ya maendeleo yetu na wanetu, haendi wala kufanya chochote bila kuniambia, kwa kifupi ni mwema sana kwangu!.
Na mimi pia kama baba ndani ya nyumba najitahidi kadri ya uwezo wangu kuwa mwema na uchafu wote ninaoufanya hajawahi hata kuhisi mimi ni msiri mno na ninaochepuka nao ninawaambia nina mke sitaki usimbufu home time!
Najitahidi sana nisitumie rasilimali tunazochuma pamoja kula na michepuko hivyo nafanya kila namna/manuva nipate extra money kwaajili ya michepuko out of our normal earnings!
Baada ya ndoa niliweza kukaa 3 years without to cheat but baada ya kukutana na ex wangu wa o level nikajikuta naanza uchafu ambao nilishaungama/kutubu.
Nikiri tu kabla ya ndoa nilikuwa kicheche nisiyepitwa na sauti mpya ila niliamini nikioa nitaacha.
Nikaoa nikajitahidi but now ndio kama nimechokoza yani nimekuwa kicheche kuliko ambao hawajaoa japo nafanya kwa siri sana hakuna anayeweza jua zaidi yangu na ninayemla mbaya zaidi ninaofanya nao kwa uzuri hawamfikii mke wangu hata robo.
Kinachoniuma sio rasilimali ninazozitumia, magonjwa wala mda ila naumia sana kuona nashindwaje kuacha uzinzi, naisaliti ndoa yangu na namsaliti mke wangu ambaye ninampenda sana!
Nikiri ninampenda sana ila namsaliti bila huruma.
Nakosea wapi wakuu!
Naomba ushauri utoke kwa waliooa na walioolewa tu!
Madogo kuweni myaone.
Tatu??? Moja tu inanishindaUnashindwa kuvumia siku 3-5?
Unatudanganya hapaTatu??? Moja tu inanishinda
Labda kwa hizo siku mwanamke aondoke nisimuone lakini sio nipo nayeUnatudanganya hapa
Nipe ofa week moja nikuoneshe maajabuUnatudanganya hapa
Maajabu yapi ambayo sijawahi kutana nayo?Nipe ofa week moja nikuoneshe maajabu
Ya kushindana kuvumilia hata siku mojaMaajabu yapi ambayo sijawahi kutana nayo?
Aku, staki kuchoshwa kwa kukomoanaYa kushindana kuvumilia hata siku moja
ya mume wa mtuNikipata nafasi ya nn?
KitumbuaNashindwa kuelewaga watu mnaooa na kutimiziwa haja zote na wake zenu ila still mnachepuka huwa mnatafuta nini nje