Mkuu ..hako ka mtego kakuchepuka si ww tu... Wanaume wengi kanatupa shida...hata upewe miss dunia..bado utachepuka tu...labda kama wanawake wote duniani wangekuwa na sura na maumbile ya kufanana kidogo ingesaidia... Lakini pia mm nadhani ipo kisayansi zaidi...maana wengine usipochepuka hata usingizi hupati.