Naachaje kuchepuka ?

Mkuu ..hako ka mtego kakuchepuka si ww tu... Wanaume wengi kanatupa shida...hata upewe miss dunia..bado utachepuka tu...labda kama wanawake wote duniani wangekuwa na sura na maumbile ya kufanana kidogo ingesaidia... Lakini pia mm nadhani ipo kisayansi zaidi...maana wengine usipochepuka hata usingizi hupati.
 
Mkeo anakosea kutokupa tendo kila wakati wewe unapohitaji,ndio maana ukaamua kuchepuka;wanaume lazima tuwe wa kweli.
 
Huo nadhan ndo uanaume ulivyo.Its nature.Kuna rafiki yangu alioa mke mzuriiiiii!Sura,Hilo shape ndo usiseme but alikuwa anahangaika na vimwanamke vibayaaa
 
Usiache ila kuwa makini usikamatwe
 
kila kitu ni kuamua tu
yaani leo ukiamua naanza kunywa pombe unakunywa tu..ukiamua kuacha unaacha tu.
ukiamua kuendelea unaendelea tu
hivi unashindwaje kukontrol nafsi na maisha yako mpaka kufikiria oooh nina mke sijui nini

wewe amua wewe kama weww kama unatom...aaaana mpaka kipungue kama penseli gongana tu...siku ukisema imetosha imetosha
mi naamini maisha yako ni wewe mwwnyewe kuamua tu
 
Chunga kabisa
Acha zinaa hata kuikurubia sisi waislam tumekatazwa


Mkuu wewe ni muislam?
Kama sio basi wewe fanya tu na ole wako kama kuna mtu alifika kwako na akakuambia dini pekee mbele ya Allah ni usilam...


Ila kama alifika na ameshakufikishia na umepinga
Basi wewe zini na kila aina ya mwanamke hakika ya pepo yako ni hii dunia....

Kkaa chini na tafakari kisha mpende mkeo

Ki dunia sasa
Si vizuri kufanya hivyo kwani na wewe utafanyiwa kwa aidha mkeo mtoto wako au ndugu zako wengine
 
Huo nadhan ndo uanaume ulivyo.Its nature.Kuna rafiki yangu alioa mke mzuriiiiii!Sura,Hilo shape ndo usiseme but alikuwa anahangaika na vimwanamke vibayaaa
Yani we acha tu mpaka naonaga aibu nikikumbuka.
 
Hapa najiandaa nioge nikagonge ngozi. Ila moyo hautaki kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…