Naachaje kuchepuka ?

Anakunyima papuchi kila mara utakayo kujirusha na utamu wako?

 
Kosa kubwa uliofanya is u wer not true to urself....yaani unajua sio kila mtu ni fit kuwa mume...u are one of them kama mie tuu. Nilishajijuliaga mie ni mtu wakugegeda tuu mambo ya kuoa na familia hilo siwezi maana mke nitamcheat tuu. Sasa kuondoa yote hayo wewe ulifuata wat society expects of u na sio uhalisi wa wewe ulivyo.
 
Kila mla vya wenzie na yeye chake huliwa, unadhani mkeo haliwi? Ni swala la muda tu.
 
Huko nje kuna vitu unavyovipata ambavyo rafiki yako mkeo hakupi? Kwa mfano kuna mikao mke rafiki yako anakwambia mkao huu mie sipendi/si enjoy.

Haninyimi na ukiachilia mbali mke na mume pia sisi ni marafiki ila mimi nimekuwa rafiki mnafiki ninamsaliti mke wangu/rafiki yangu
 
Maamuzi ya kuacha kuchepuka yanaanza na wewe mwenyewe, unatakiwa ujikane kwamba unachokifanya siyo kizuri kwanza ni dhambi, kuna magonjwa nk. Lkn pia ukumbuke na wema wa mkeo/uzuri wake pia, ujisute Kwa hayo ufanyayo je ndyo malipo anayostahili?mshirikishe Mungu akusaidie. Amina
 
Kila strong man deserves family pa1 na mapungufu yangu but nina haki ya kuwa na mke eventhough nahitaji tafakari
 
Shukrani mpendwa
 
Huko nje kuna vitu unavyovipata ambavyo rafiki yako mkeo hakupi? Kwa mfano kuna mikao mke rafiki yako anakwambia mkao huu mie sipendi/si enjoy.
Huwezi kuamini nje nafata tu upya wa dem but sienjoy zaid ya ninavyofurahia kwa wife
 
Reactions: BAK
Jizuie basi sioni sababu ya kuendelea kumsaliti mkeo na rafiki vinginevyo utaishia kulikwaa gonjwa na kubaki na majuto mjukuu for the rest of your life.
Ni kweli kaka
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…