Naachaje kuchepuka ?

Ukitaka kuacha hiyo tabia..subiri siku moja UFUMANIWE red handed,trust me kitakachokukuta Hata hutohitaji ushauri wa kuacha hiyo tabia yako.
Prediction are highly restricted&prohibited give me what I asked you.
 
Hujaamua kuacha wewe!
Kila kitu ni maamuzi tuu, huo muda wa kuchat na mchepuko chat na mkeo!

Huo muda wa kumuwaza mchepuko, muwaze mkeo!

Huo muda wa kukaa na mchepuko cheza na mwanao!

Hizo hela unazompa mchepuko mnunulie mkeo zawadi!

Tenga muda wa kusali na mkeo kila siku, muda wa kusoma neno na mkeo kila siku! Mfanye mkeo awe rafiki yako wa kwanza!

N.B, nina miaka kumi kwenye ndoa!
 
Mwanamke anaweza kaa miaka kumi akawa anachepuka na usijue aiseee hawa viumbe achana nao kabisa yeye anaweza akamwambia mwanaume usipige simu mpaka nikwambie mwanaume akatii lakin kwa upande wetu Kuna wanawake visoi balaaa hata umwambie haelew somo take care sana
 
mmmmh, hiyo NB umesemaje?
 
Hakuna excuses ya kuchepuka ww, kuchepuka ni tabia
Wanaochepuka kwaajili ya pesa ni wachache. Wengi ni vijimambo tu vinavyofanya wakose Raha, mume anaweza akawa na pesa na raha usiipate.
 
Hakuna excuses ya kuchepuka ww, kuchepuka ni tabia
Hakuna Cha tabia. Kuna mambo yanapelekea mtu achepuke. Iwe kwa mwanaume au mwanamke. Na ukiona mke anachepuka ujue kavumilia mengi..watu wanaitafuta furaha sehemu iliyopo
 
Hakuna excuses ya kuchepuka ww, kuchepuka ni tabia
Hakuna Cha tabia. Kuna mambo yanapelekea mtu achepuke. Iwe kwa mwanaume au mwanamke. Na ukiona mke anachepuka ujue kavumilia mengi..watu wanaitafuta furaha sehemu iliyopo
 
Mumeoje?
Unadhani ni kirahis kiasi hicho mkuu
 
Nenda kwa kiongozi wako wa Imani kamuelezee kisha atakushauri na kufanya maombi ya pamoja na regular teachings!
 
Mumeoje?
Unadhani ni kirahis kiasi hicho mkuu
Basi hujaamua!
Ukitaka kuliona jambo gumu lifanye wewe mwenyewe kuwa gumu! Na kinyume chake!

Umetaka ushauri, halafu unasema nadhani ni kirahisi! Basi endelea kuchepuka mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…