Naachana na harakati za kisiasa Tanzania, hazina faida yoyote

siasa ni pata potea, walio staarabika ndio kwenye siasa zao, huku kwetu kuna tabaka la watawala na watawaliwa..
 
Nasikia unakwenda kwa rafiki zetu Burundi! Wasalimie
 
Watanzania wanauelewa sana! Wakiona Gaidi, wanalpuuzia! Hawawezi kuandama.
 
Waione wafuatao:
Salary Slip Erythrocyte Chakaza Mshana Jr Mmawia brazaj Arushaone macho_mdiliko
 

Kumbe ni li-CHaDEMa. Safari njema.

Siku ukipata za kikubwa hamia CCM ufanye siasa za ukweli.

CDM huko ni fujo fujo na uanaharakati tu.
 
kuna ukweli
 
Asante mkuu andiko lako limefungua watu masikio. Watakao kuelewa tumekuelewa. Kwa kweli hili jicho limeona mbali.

Huo mfupa iliougusa mahakama yake ni wananchi ndiyo kila Kona watauweza.
 

Sasa wewe nawe ni tatizo kubwa zaidi ya unaowaacha maana umeelezea tatizo vizuriiii halafu umeamua kulikimbia badala ya kukabiliana nalo

Ufike salama technically

Usisite kuja kutembea na kutumia fursa zinazotokea kama Tundu, huwezi jua bahati yako iko wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…