Naam, kwa mwenendo huu CCM inajifuta kwenye siasa za Tanzania

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,252
Reaction score
36,513
Mimi ni mtu wa kawaida sana. Kauli hii inaweza usiione ina impact kubwa

Inawezekana kabisa nisiione keshokutwa yangu, lakini nimejidhihirisha kuwa sauti yenye Mamlaka imeshatamka niliyoandika kwenye kichwa cha uzi huu.

Tumezoea kuishi kwa hofu.
  1. Mkuu wa chama ndiye amiri
  2. Amiri anaapa kwa kutii mwongozo ambao anaenda kuwa mkuu kuliko mwongozo huo
  3. Chama kinaamua nani aishi nani akome kuishi
  4. Chama kina ajenda moja kuu nayo ni kushika dola kwa nyenzo na mbinu zozote
Ifike mahala tukubali kuwa CCM imekosa dira na mwelekeo.....

Kolimba alikufa alipokuwa anahojiwa bila kujua kuwa hukumu dhidi yake ilishatolewa.....
 
Sasa mbona mwenendo uliouainisha ndio unaowaimarisha?
 
Mwenye masikio asikie unabii huo
 
Naam...

Attachments

  • 2023.jpg
    2023.jpg
    30.2 KB · Views: 2
HOFU ni DHAMBI kubwa sana.

Mungu pekee ndo wa kumwogopa na kumtetemekea.

CCMMM ilikisha kufa zamani, inapumua Kwa mashine inayoitwa Dola.

Tuchomoe mrija na habari Yao ifike mwisho.
 
Back
Top Bottom