Mwenye masikio asikie unabii huoMimi ni mtu wa kawaida sana. Kauli hii inaweza usiione ina impact kubwa
Inawezekana kabisa nisiione keshokutwa yangu, lakini nimejidhihirisha kuwa sauti yenye Mamlaka imeshatamka niliyoandika kwenye kichwa cha uzi huu.
Tumezoea kuishi kwa hofu.
Ifike mahala tukubali kuwa CCM imekosa dira na mwelekeo.....
- Mkuu wa chama ndiye amiri
- Amiri anaapa kwa kutii mwongozo ambao anaenda kuwa mkuu kuliko mwongozo huo
- Chama kinaamua nani aishi nani akome kuishi
- Chama kina ajenda moja kuu nayo ni kushika dola kwa nyenzo na mbinu zozote
Kolimba alikufa alipokuwa anahojiwa bila kujua kuwa hukumu dhidi yake ilishatolewa.....
Naam...Mimi ni mtu wa kawaida sana. Kauli hii inaweza usiione ina impact kubwa