Naambiwa mwenye jengo lililoporomoka Kariakoo ni Kigogo, Je nani na kwanini mpaka sasa hajatajwa?

Naambiwa mwenye jengo lililoporomoka Kariakoo ni Kigogo, Je nani na kwanini mpaka sasa hajatajwa?

Huyu mmiliki wa hilo jengo lililoporomoka hapo kariakoo ni nani mpaka anafichwa hivyo?
Naambiwa na mtu mzito (kigogo)

Tamaa yake ya kutaka kuongeza eneo chini ya ghorofa imekula maisha ya watu?

Ni wakati muafaka sasa wa kumjua
Aliyekwambia kakudanganya....hilo jengo mwenye nalo anaitwa mbilinyi ni mkinga kaishia la saba ila ana mpunga mreeefu sana......
 
Aliyekwambia kakudanganya....hilo jengo mwenye nalo anaitwa mbilinyi ni mkinga kaishia la saba ila ana mpunga mreeefu sana......
Hata kampuni ya Azam tunajua kwenye makaratasi ni ya Bakhresa lakini wengineo nao wapo
 
Back
Top Bottom