Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
Aliyekwambia kakudanganya....hilo jengo mwenye nalo anaitwa mbilinyi ni mkinga kaishia la saba ila ana mpunga mreeefu sana......Huyu mmiliki wa hilo jengo lililoporomoka hapo kariakoo ni nani mpaka anafichwa hivyo?
Naambiwa na mtu mzito (kigogo)
Tamaa yake ya kutaka kuongeza eneo chini ya ghorofa imekula maisha ya watu?
Ni wakati muafaka sasa wa kumjua
ππππ Et kaishia la saba was it necessary.?Aliyekwambia kakudanganya....hilo jengo mwenye nalo anaitwa mbilinyi ni mkinga kaishia la saba ila ana mpunga mreeefu sana......
Hata kampuni ya Azam tunajua kwenye makaratasi ni ya Bakhresa lakini wengineo nao wapoAliyekwambia kakudanganya....hilo jengo mwenye nalo anaitwa mbilinyi ni mkinga kaishia la saba ila ana mpunga mreeefu sana......
itakuwa ni yule wa twitter!Kigogo wa pesa, siasa, dini au mpira??