Naambiwa Redcross kuja na small mobile cells kujibu mapigo

October 2pm

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2023
Posts
1,148
Reaction score
2,032
Hehee hee! Labeka wanawanyu. Mayii! Mnajionea wanavyopagawa hehee. Wachekesha. Sasa vitambulisho si muliwauzia wenyewe kwa vitamaa vyenu. Sio raia wana nida card na ile vote Id. Mliwapa wenyewe. Leo mwakagua kila mtu heeeh. Nye Nye Nye. Mwakamatana wenyewe. Wahusika wapo vitengo nyeti wawang'onga visogoni. Mayi naambiwa Redcross waja na Small mobile Cells kujibu mapigo. Haichekeshi walahi. Leo. Jioni hapo Dodoma najuzwa kutakuwa na kikao kizito. Ntwara kuchelee. Na bado
 
Du kikubwa umeshatuunga mkono tumeshakusamehe maCCM hawaga Rafiki
 
Mtandao hii Vita Ni rasmi itawashinda tarehe 9/12

Rasmi Sasa CCM mtandao inasitaafishwa rasmi

Pray fo Tanganyika Popote ulipo

Tunashinda!!
ngumu sana mkuu its impractical
 
Hehee hee! Labeka wanawanyu. Mayii! Mnajionea wanavyopagawa hehee. Wachekesha. Sasa vitambulisho si muliwauzia wenyewe kwa vitamaa vyenu. Sio raia wana nida card na ile vote Id. Mliwapa wenyewe. Leo mwakagua kila mtu heeeh. Nye Nye Nye. Mwakamatana wenyewe. Wahusika wapo vitengo nyeti wawang'onga visogoni. Mayi naambiwa Redcross waja na Small mobile Cells kujibu mapigo. Haichekeshi walahi. Leo. Jioni hapo Dodoma najuzwa kutakuwa na kikao kizito. Ntwara kuchelee. Na bado
Kila Mmoja Kwa namna yake, tuipambanie Tanzania yetu
 
Hehee hee! Labeka wanawanyu. Mayii! Mnajionea wanavyopagawa hehee. Wachekesha. Sasa vitambulisho si muliwauzia wenyewe kwa vitamaa vyenu. Sio raia wana nida card na ile vote Id. Mliwapa wenyewe. Leo mwakagua kila mtu heeeh. Nye Nye Nye. Mwakamatana wenyewe. Wahusika wapo vitengo nyeti wawang'onga visogoni. Mayi naambiwa Redcross waja na Small mobile Cells kujibu mapigo. Haichekeshi walahi. Leo. Jioni hapo Dodoma najuzwa kutakuwa na kikao kizito. Ntwara kuchelee. Na bado
hayo unayajuwa mwenyewe na walevi wa bangi wenzio.

Ndiyo nimeamua maksudi kukujulisha hivyo, kama unadhani watu kupoteza maisha ni ngonjera za aina hiyo unazozifanya hapa.

Hopeless Kabisa.
 
Back
Top Bottom