Answers are there for everyone to seeWanatafuta majibu Kwa Sasa ya wapi walifeli mpaka tukawa surpris.
Wakati wanawaza majibu ya hizi gaps, DEC 9 tunakuja na Mbinu Mpyaaa
Answers are there for everyone to seeWanatafuta majibu Kwa Sasa ya wapi walifeli mpaka tukawa surpris.
Wakati wanawaza majibu ya hizi gaps, DEC 9 tunakuja na Mbinu Mpyaaa
Naskia kuna kiongozi wenu mmoja washamdakaHehee hee! Labeka wanawanyu. Mayii! Mnajionea wanavyopagawa hehee. Wachekesha. Sasa vitambulisho si muliwauzia wenyewe kwa vitamaa vyenu. Sio raia wana nida card na ile vote Id. Mliwapa wenyewe. Leo mwakagua kila mtu heeeh. Nye Nye Nye. Mwakamatana wenyewe. Wahusika wapo vitengo nyeti wawang'onga visogoni. Mayi naambiwa Redcross waja na Small mobile Cells kujibu mapigo. Haichekeshi walahi. Leo. Jioni hapo Dodoma najuzwa kutakuwa na kikao kizito. Ntwara kuchelee. Na bado
Nas
Naskia kuna kiongozi wenu mmoja washamdaka
Nilifunua hii kitu ....ila bado mtandao wanaendelea kusilibwa kinyesi na sa100 ...hapo ndipo samia alipo waweza hao waislamu wa mtandao wa msoga ..awawezi kujinasua tena isipokuwa kuzama na samia wao ...Mtandao wenyewe washapigwa chini na wazenji
Mpaka kufika 2030 watakuwa wametepeta labda watafute njia nyingine ya kusaka madarakaNilifunua hii kitu ....ila bado mtandao wanaendelea kusilibwa kinyesi na sa100 ...hapo ndipo samia alipo waweza hao waislamu wa mtandao wa msoga ..awawezi kujinasua tena isipokuwa kuzama na samia wao ...
😁😁😁2030 mbali yote hiyo ....hao wakifika 2027 itakuwa ni miujiza.Mpaka kufika 2030 watakuwa wametepeta labda watafute njia nyingine ya kusaka madaraka
Watafika mkuu nchi yetu ina wanafiki wengi😁😁😁2030 mbali yote hiyo ....hao wakifika 2027 itakuwa ni miujiza.
Watafika mkuu nchi yetu ina wanafiki wengi
Sasa wao wanajali hilo?Mahesabu yanakataa kwa sababu ya damu waliyo mwaga ni nyingi uwezekano wa kufika ni asilimia 40% tu kwa sababu kila siku wana zidi kuhalibu .....sasa hivi ni swala la kimataifa siyo kitaifa ....ni wazi samia awezi kuendesha nchi ndani ya vikwazo na kuwindwa na jumuia za kimataifa ...mambo hayo anayaweza putin na viongozi wazalendo tu ....serikali haramu ta samia inakwenda kufitinika ndani yake hadi zanzibar kutachafuka ...uchumi wa bara ukihalibika na zanzibar hali yake inakwenda kuwa mbaya zaidi ....kosa kubwa sana walilo fanya ni kumwaga damu nyingi kiasi hiki na njia waliyo tumia kumwaga damu ni mbaya kwao
Huko Kuto kujali ndiyo kutako fupisha muda wao ...ndiyo maana nikakuambia 2030 mbaliSasa wao wanajali hilo?