October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Du kikubwa umeshatuunga mkono tumeshakusamehe maCCM hawaga RafikiHehee hee! Labeka wanawanyu. Mayii! Mnajionea wanavyopagawa hehee. Wachekesha. Sasa vitambulisho si muliwauzia wenyewe kwa vitamaa vyenu. Sio raia wana nida card na ile vote Id. Mliwapa wenyewe. Leo mwakagua kila mtu heeeh. Nye Nye Nye. Mwakamatana wenyewe. Wahusika wapo vitengo nyeti wawang'onga visogoni. Mayi naambiwa Redcross waja na Small mobile Cells kujibu mapigo. Haichekeshi walahi. Leo. Jioni hapo Dodoma najuzwa kutakuwa na kikao kizito. Ntwara kuchelee. Na bado
ngumu sana mkuu its impracticalMtandao hii Vita Ni rasmi itawashinda tarehe 9/12
Rasmi Sasa CCM mtandao inasitaafishwa rasmi
Pray fo Tanganyika Popote ulipo
Tunashinda!!
KichekeshoNdo nini?
Siwezi kunena hapa ngoja ninyamaze but mission impossible soon is possiblengumu sana mkuu its impractical
unatak kusema Mtandao wamezidiwa akili na Opposite wao au ?Siwezi kunena hapa ngoja ninyamaze but mission impossible now it is possible
Ukiona huelewei, ujue hauhusiki, hivo usitumke nguvu nyingi kutaka kujua.sijui unakimbia huku unaandika, any way ujumbe wako hatujauelewa
Wanatafuta majibu Kwa Sasa ya wapi walifeli mpaka tukawa surpris.Mtandao hii Vita Ni rasmi itawashinda tarehe 9/12
Rasmi Sasa CCM mtandao inasitaafishwa rasmi
Pray fo Tanganyika Popote ulipo
Tunashinda!!
Kila Mmoja Kwa namna yake, tuipambanie Tanzania yetuHehee hee! Labeka wanawanyu. Mayii! Mnajionea wanavyopagawa hehee. Wachekesha. Sasa vitambulisho si muliwauzia wenyewe kwa vitamaa vyenu. Sio raia wana nida card na ile vote Id. Mliwapa wenyewe. Leo mwakagua kila mtu heeeh. Nye Nye Nye. Mwakamatana wenyewe. Wahusika wapo vitengo nyeti wawang'onga visogoni. Mayi naambiwa Redcross waja na Small mobile Cells kujibu mapigo. Haichekeshi walahi. Leo. Jioni hapo Dodoma najuzwa kutakuwa na kikao kizito. Ntwara kuchelee. Na bado
Mtandao wenyewe washapigwa chini na wazenjiunatak kusema Mtandao wamezidiwa akili na Opposite wao au ?
Iite Tanganyika sio TanzaniaKila Mmoja Kwa namna yake, tuipambanie Tanzania yetu
hayo unayajuwa mwenyewe na walevi wa bangi wenzio.Hehee hee! Labeka wanawanyu. Mayii! Mnajionea wanavyopagawa hehee. Wachekesha. Sasa vitambulisho si muliwauzia wenyewe kwa vitamaa vyenu. Sio raia wana nida card na ile vote Id. Mliwapa wenyewe. Leo mwakagua kila mtu heeeh. Nye Nye Nye. Mwakamatana wenyewe. Wahusika wapo vitengo nyeti wawang'onga visogoni. Mayi naambiwa Redcross waja na Small mobile Cells kujibu mapigo. Haichekeshi walahi. Leo. Jioni hapo Dodoma najuzwa kutakuwa na kikao kizito. Ntwara kuchelee. Na bado
Na badoKila Mmoja Kwa namna yake, tuipambanie Tanzania yetu