Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 16,583
- 42,992
Kwakawaida pale MUHIMBILI na hospitali zote zenye vyuo Huwa wanapita madaktari na wanafunzi wao mawodini kama sehemu ya kuwafumdisha Kwa vitendo Yani yule mgonjwa anakuwa case study.
Sasa wanafunzi wanakuwa wengi mpaka kumi wanamzunguka mgonjwa huku wakimatadi ule ugonjwa. Sasa wanafunzi wakawa wanauliza maswali Kwa kingereza na mwalimu wao anajibu. Sasa katika moja ya majibu yake alisema (nilikuwepo pale kitandani Kwa baba nasikiliza) Kwa ugonjwa huu huyu mgonjwa hatapona atafariki ndani ya muda Fulani na kweli ikawa hivyo.
Baba alikuwa msomi mkubwa alisomea Edinburg Scotland alikuwa anasimia na kuelewa Kila kitu. Mzee hakukaa sana alikufa Kwa hofu. Naamini ile hofu ndio ilimuuwa Mzee wangu kutokana na majibu ya daktari mwalimu Kwa wanafunzi wake.