Naamini hospital ya Muhimbili ilichangia baba yangu kufariki mapema

Naamini hospital ya Muhimbili ilichangia baba yangu kufariki mapema

Muhimbili sio sehemu salama kwa watu wa wapigania uhai

It's Hell
 
hospitali za serikali koote kumejaa wanafunzi wa field, ukipeleka mgonjwa huko andaa kaburi kabisa
Kushinda za binafsi?

Hospital zenye shule
MUHAS
Bugando
KCMC
Huko kote lazima wanafunzi wajifunze kypitia wagonjwa
 
Nchi zilizoendelea madaktari huwa wanamwambia kabisa mgonjwa aliyekaribia kufa ni muda gani wa kuishi amebakiza ili ajiandae na awapange vizuri anaowaacha.
 
The same scenario happened to my late father hapo ulipopataja, wanafunzi wana maswali sana mbele ya mgonjwa, daah, pumzika father.
 
Back
Top Bottom