General GaladuduKwakawaida pale MUHIMBILI na hospitali zote zenye vyuo Huwa wanapita madaktari na wanafunzi wao mawodini kama sehemu ya kuwafumdisha Kwa vitendo Yani yule mgonjwa anakuwa case study.
Sasa wanafunzi wanakuwa wengi mpaka kumi wanamzunguka mgonjwa huku wakimatadi ule ugonjwa. Sasa wanafunzi wakawa wanauliza maswali Kwa kingereza na mwalimu wao anajibu. Sasa katika moja ya majibu yake alisema (nilikuwepo pale kitandani Kwa baba nasikiliza) Kwa ugonjwa huu huyu mgonjwa hatapona atafariki ndani ya muda Fulani na kweli ikawa hivyo.
Baba alikuwa msomi mkubwa alisomea Edinburg Scotland alikuwa anasimia na kuelewa Kila kitu. Mzee hakukaa sana alikufa Kwa hofu. Naamini ile hofu ndio ilimuuwa Mzee wangu kutokana na majibu ya daktari mwalimu Kwa wanafunzi wake.
Pole Sana mkuuHii ilitokea 2018 RIEP DADY.
Hata za private pia...jichanganye uende kitonk pale gomshospitali za serikali koote kumejaa wanafunzi wa field
Hii story huwa inasimuliwa sana na watu wengi kwenye mitandao ya kijamii japo simulizi yake inatofautiana lakini ujumbe ni huu huu. Hata hapa ilishaletwa japo maelezo yake siyo kama haya ila ujumbe ni huu huu. Story zote zinakuwa na 1. Baba mgonjwa yuko Muhimbili 2. Wanakuja madaktari wanafunzi wengi wakiwa na mwalimu wao 3. Mwalimu anasema kwa kiingereza kuwa huyu mgonjwa hana siku nyingi. 4. Baba kumbe ni msomi anajua kinachoongelewa 5. Anakufa kwa sononi baada ya siku chache. Coincidence?Kwakawaida pale MUHIMBILI na hospitali zote zenye vyuo Huwa wanapita madaktari na wanafunzi wao mawodini kama sehemu ya kuwafumdisha Kwa vitendo Yani yule mgonjwa anakuwa case study.
Sasa wanafunzi wanakuwa wengi mpaka kumi wanamzunguka mgonjwa huku wakimatadi ule ugonjwa. Sasa wanafunzi wakawa wanauliza maswali Kwa kingereza na mwalimu wao anajibu. Sasa katika moja ya majibu yake alisema (nilikuwepo pale kitandani Kwa baba nasikiliza) Kwa ugonjwa huu huyu mgonjwa hatapona atafariki ndani ya muda Fulani na kweli ikawa hivyo.
Baba alikuwa msomi mkubwa alisomea Edinburg Scotland alikuwa anasimia na kuelewa Kila kitu. Mzee hakukaa sana alikufa Kwa hofu. Naamini ile hofu ndio ilimuuwa Mzee wangu kutokana na majibu ya daktari mwalimu Kwa wanafunzi wake.
Kama ni kweli watu wasiseme ? Mimi yangu ni kweli namsingizia baba yangu iweje?Hii story huwa inasimuliwa sana na watu wengi kwenye mitandao ya kijamii japo simulizi yake inatofautiana lakini ujumbe ni huu huu. Hata hapa ilishaletwa japo maelezo yake siyo kama haya ila ujumbe ni huu huu. Story zote zinakuwa na 1. Baba mgonjwa yuko Muhimbili 2. Wanakuja madaktari wanafunzi wengi wakiwa na mwalimu wao 3. Mwalimu anasema kwa kiingereza kuwa huyu mgonjwa hana siku nyingi. 4. Baba kumbe ni msomi anajua kinachoongelewa 5. Anakufa kwa sononi baada ya siku chache. Coincidence?
Nimeelezea experience yangu na sikusema popote watu wasiseme. Mwisho nikauliza , coincidence?Kama ni kweli watu wasiseme ? Mimi yangu ni kweli namsingizia baba yangu iweje?
Watu bhana! Binadamu anajitahidi kuukataa UKWELI kwamba kufa ni wajibu wa lazima.Hii story huwa inasimuliwa sana na watu wengi kwenye mitandao ya kijamii japo simulizi yake inatofautiana lakini ujumbe ni huu huu. Hata hapa ilishaletwa japo maelezo yake siyo kama haya ila ujumbe ni huu huu. Story zote zinakuwa na 1. Baba mgonjwa yuko Muhimbili 2. Wanakuja madaktari wanafunzi wengi wakiwa na mwalimu wao 3. Mwalimu anasema kwa kiingereza kuwa huyu mgonjwa hana siku nyingi. 4. Baba kumbe ni msomi anajua kinachoongelewa 5. Anakufa kwa sononi baada ya siku chache. Coincidence?