Grader
JF-Expert Member
- Feb 23, 2009
- 445
- 64
Mpaka sasa mapumziko na Taifa stars ipo nyuma kwa goli moja likifungwa kwa uzembe wa golikipa Dida.
Taifa ikicheza kwa kujilinda zaidi kwani Nooj akiwanzisha viungo wengi Domayo,Nyoni,Kiemba,Mkude na Abdi Banda.
Timu ikicheza bila mpangilio wowote ule. Nafikiri kocha ameishiwa mbinu za kuchezesha wachezaji wake.