Naamini kabisa, Tanzania kichwa cha mwendawazimu

Naamini kabisa, Tanzania kichwa cha mwendawazimu

Grader

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2009
Posts
445
Reaction score
64
Mpaka sasa mapumziko na Taifa stars ipo nyuma kwa goli moja likifungwa kwa uzembe wa golikipa Dida.

Taifa ikicheza kwa kujilinda zaidi kwani Nooj akiwanzisha viungo wengi Domayo,Nyoni,Kiemba,Mkude na Abdi Banda.

Timu ikicheza bila mpangilio wowote ule. Nafikiri kocha ameishiwa mbinu za kuchezesha wachezaji wake.
 
Wachezaji wenyewe unao mkuu?

Tatizo si kocha bali hatuna wachezaji mura!

Mbona wachezaji hao hao ndio wanacheza vizuri kwenye timu zao za Yanga,Simba,Azam ,n.k. hebu tupia jicho lako Azam two ujionee madudu ya Taifa stars.
 
Na tupigwe tu-- eeh maana tumechoka sasa
Na mi nasema mwapige tu...hamna namna nyingine sasa....teh teh..
 
Tupigwe hata magoli sita maana tuna kipe yo cha kupoke magoli mengi sanaaaaa
 
Wakati umefika kwa hawa tff wapite mitaani
Uswazi waone vipaji vilivyopo vya mpira
Siyo kuwangangania wanyoa viduku na wavaa hereni hawa wa chezaji wa sasa ambao hawajitumi.
Wanapewa hela wanapewa magari na nyumba lkn bado uwezo wao hakuna kitu
 
Wapigwe tu ..maana hakuna jinsi..tushachoka sasa...
 
Wakati umefika kwa hawa tff wapite mitaani
Uswazi waone vipaji vilivyopo vya mpira
Siyo kuwangangania wanyoa viduku na wavaa hereni hawa wa chezaji wa sasa ambao hawajitumi.
Wanapewa hela wanapewa magari na nyumba lkn bado uwezo wao hakuna kitu

Kocha kafanya sub na kumuingiza Rashid Mandawa ambaye kanyoa kiduku.
 
Wakuu la tatu tayari, Tatu bila, kweli hii ni fedheha
 
Tatizo itakuwa jezi mpya...bado hatujazizoea🙂🙂🙂
 
Malinzi alisema jina la Taifa stars halitishi
 
Kocha kafanya sub na kumuingiza Rashid Mandawa ambaye kanyoa kiduku.
Hahaha wachezaji hawajitambui bado licha ya kupewa huduma zote, aibu sana sana waganda wanawala tu 0713 za000
 
Back
Top Bottom