uganda funga tanzania mbili bila
Wakati umefika kwa hawa tff wapite mitaani
Uswazi waone vipaji vilivyopo vya mpira
Siyo kuwangangania wanyoa viduku na wavaa hereni hawa wa chezaji wa sasa ambao hawajitumi.
Wanapewa hela wanapewa magari na nyumba lkn bado uwezo wao hakuna kitu
Hahaha wachezaji hawajitambui bado licha ya kupewa huduma zote, aibu sana sana waganda wanawala tu 0713 za000Kocha kafanya sub na kumuingiza Rashid Mandawa ambaye kanyoa kiduku.