Naamini mume wangu atapatikana humu JF

Naamini mume wangu atapatikana humu JF

sasa Bizy ukipata pm kama 20 utawafanyia usaili (interview) au itakuwaje? maana kumpata chaguo sahihi sio jambo rahisi. wengine ni 'wapigaji' tu halafu wanalala mbele!
 
Nimekupenda ila vya hizo dini zilizoletwa na hao wahuni (wazungu na waarabu) kwenye majahazi sipo kabisa. Pia nipo serious sana mapenzi, nacheza kotekote!
 
Mimi ni dada nina miaka 31, mkristo, ni mrefu, nina elimu ya chuo. Nahitaji mwanaume mwenye uhitaji wa mahusiano yaliyo serious ambayo Mungu akipenda yaishie kwenye ndoa. Huyo mwanaume napenda awe mkristo, kabila lolote, elimu walau form six. Umri wake uanzie miaka 34-40.

Nipo hapa na nina zaid ya hivyo vigezo, nitumie picha na namba zako za cm (edmundmarandu99@hotmail.com)
 
sasa Bizy ukipata pm kama 20 utawafanyia usaili (interview) au itakuwaje? maana kumpata chaguo sahihi sio jambo rahisi. wengine ni 'wapigaji' tu halafu wanalala mbele!

Hata mimi huwa najiuliza swali kama hilo maana watakao apply ni wengi sana..!

Mmmh... Ngoja na mie niweke tangazo langu nione itakavyokuwa..!
 
Mimi ni dada nina miaka 31, mkristo, ni mrefu, nina elimu ya chuo. Nahitaji mwanaume mwenye uhitaji wa mahusiano yaliyo serious ambayo Mungu akipenda yaishie kwenye ndoa. Huyo mwanaume napenda awe mkristo, kabila lolote, elimu walau form six. Umri wake uanzie miaka 34-40.

pagumu hapo tu ,
 
Hata mimi huwa najiuliza swali kama hilo maana watakao apply ni wengi sana..!

Mmmh... Ngoja na mie niweke tangazo langu nione itakavyokuwa..!

Mmmh...Hata kabla hujaweka tangazo lako...mimi natuma application mapema ili tusiwe wengi ukatuingiza kwenye chujio la interview!
 
Hahahaaa... Haya interview imeisha na nimeshakuchagua Kamanda kazi..!

Natumaini kama jina lako linavyoeleza kazi unaiweza Lol
 
:target: eehee..hureee...! usijali naweza kabisa wala usiwe na wasiwasi!
 
Mi ni mkristo, kabila mdigo, mrefu, umbo wastani, elimu chuo........ Umri wangu miaka 32.....vp hapo match or mis-match
 
sasa Bizy ukipata pm kama 20 utawafanyia usaili (interview) au itakuwaje? maana kumpata chaguo sahihi sio jambo rahisi. wengine ni 'wapigaji' tu halafu wanalala mbele!

Ni kweli nimepata PM nyingi, kwa sababu nina mshirikisha Mungu katika suala hili, naamini ananiongoza vema katika kumjua nani hasa ananifaa...Soon nitakuja hapa kuwapa feedback.
 
mmh you better do that...because 'beauty could be deceptive'!
 
Back
Top Bottom