makavulaivu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 401
- 158
Haipendezi kuleta utani kwenye issue serious makavulaivu.
tuliza weye! mi kuwa mkweli kwako ndio utani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haipendezi kuleta utani kwenye issue serious makavulaivu.
tuliza weye! mi kuwa mkweli kwako ndio utani?
Haipendezi kuleta utani kwenye issue serious makavulaivu.
Mimi ni dada nina miaka 31, mkristo, ni mrefu, nina elimu ya chuo. Nahitaji mwanaume mwenye uhitaji wa mahusiano yaliyo serious ambayo Mungu akipenda yaishie kwenye ndoa. Huyo mwanaume napenda awe mkristo, kabila lolote, elimu walau form six. Umri wake uanzie miaka 34-40.
sasa Bizy ukipata pm kama 20 utawafanyia usaili (interview) au itakuwaje? maana kumpata chaguo sahihi sio jambo rahisi. wengine ni 'wapigaji' tu halafu wanalala mbele!

pagumu hapo tu ,
Hata mimi huwa najiuliza swali kama hilo maana watakao apply ni wengi sana..!
Mmmh... Ngoja na mie niweke tangazo langu nione itakavyokuwa..!
Mmmh...Hata kabla hujaweka tangazo lako...mimi natuma application mapema ili tusiwe wengi ukatuingiza kwenye chujio la interview!
Hahahaaa... Haya interview imeisha na nimeshakuchagua Kamanda kazi..!
Natumaini kama jina lako linavyoeleza kazi unaiweza Lol
:target: eehee..hureee...! usijali naweza kabisa wala usiwe na wasiwasi!
Nikutakie kila la kheri
sasa Bizy ukipata pm kama 20 utawafanyia usaili (interview) au itakuwaje? maana kumpata chaguo sahihi sio jambo rahisi. wengine ni 'wapigaji' tu halafu wanalala mbele!
Ni kweli nimepata PM nyingi, kwa sababu nina mshirikisha Mungu katika suala hili, naamini ananiongoza vema katika kumjua nani hasa ananifaa...Soon nitakuja hapa kuwapa feedback.
[h=2]Re: Naamini mume wangu atapatikana humu jf[/h].