Mimi ni dada nina miaka 31, mkristo, ni mrefu, nina elimu ya chuo. Nahitaji mwanaume mwenye uhitaji wa mahusiano yaliyo serious ambayo Mungu akipenda yaishie kwenye ndoa. Huyo mwanaume napenda awe mkristo, kabila lolote, elimu walau form six. Umri wake uanzie miaka 34-40.
Vigezo ninavyo tuwasiliane (moshictc@gmail.com)
Chambu, Imana ilakufasha. Ntabwowa!Mimi ni dada nina miaka 31, mkristo, ni mrefu, nina elimu ya chuo. Nahitaji mwanaume mwenye uhitaji wa mahusiano yaliyo serious ambayo Mungu akipenda yaishie kwenye ndoa. Huyo mwanaume napenda awe mkristo, kabila lolote, elimu walau form six. Umri wake uanzie miaka 34-40.
Chambu, Imana ilakufasha. Ntabwowa!
hata mimi naamini hivo sitoki huku jf hadi wanioe
ukipata unipunguzie eeh
sitaki kuwa wa pili..sitaki mwanaume usedHahahaaaaa sema akipata wengi......shauri yako mie natafuta mke wa pili aliye serious zaidi ya huyy niliyenae
sitaki kuwa wa pili..sitaki mwanaume used
wapo wapya nawataka hao sitoki huku mpaka wanioeniko used kidogo tu kama mtumba wa Mlimani city.....
wapo wapya nawataka hao sitoki huku mpaka wanioe