Naamini mume wangu atapatikana humu JF

Naamini mume wangu atapatikana humu JF

Mimi ni dada nina miaka 31, mkristo, ni mrefu, nina elimu ya chuo. Nahitaji mwanaume mwenye uhitaji wa mahusiano yaliyo serious ambayo Mungu akipenda yaishie kwenye ndoa. Huyo mwanaume napenda awe mkristo, kabila lolote, elimu walau form six. Umri wake uanzie miaka 34-40.

Utampata Bizy, ucijali

Last edited by a moderator:
Mimi ni dada nina miaka 31, mkristo, ni mrefu, nina elimu ya chuo. Nahitaji mwanaume mwenye uhitaji wa mahusiano yaliyo serious ambayo Mungu akipenda yaishie kwenye ndoa. Huyo mwanaume napenda awe mkristo, kabila lolote, elimu walau form six. Umri wake uanzie miaka 34-40.
Chambu, Imana ilakufasha. Ntabwowa!
 
hata mimi naamini hivo sitoki huku jf hadi wanioe
ukipata unipunguzie eeh
 
Hahahaaaaa sema akipata wengi......shauri yako mie natafuta mke wa pili aliye serious zaidi ya huyy niliyenae
 
Back
Top Bottom