Use and dissuse mfano mzuri ni wa tembo. Idadi ya tembo wasio na meno marefu inaongezeka saivi. Wenye meno marefu wanakua vulnerable to poachers ivo wanaosurvive zaid ni wasio na meno marefu... sinilikupa huu mfano?
Use and dissuse nyingine ni nyoka, unajua asilimia kubwa ya nyoka wana miguu kwenye genes zao? Sema ziko deactivated tu unaweza kuziactivate lab ukatotoa nyoka mwenye miguu... na kuna scenarios zinatokeaga naturally nyoka anatotolewa akiwa na miguu.
Mfano mwingine ni ndege kukosa meno. Kwanza ndege unajua descendants wa dinosaurs? Yani huyo kuku unaefuga ndani kwako anaukaribu zaidi na dinosaurs kuliko kiumbe mwingine yeyeto aliehai...
View attachment 2613074
Juu ni real fossil ya ndege wa zaman iliogunduliwa, chini ni artistic reconstruction. Use and dissuse...
Use and dissuse nyingine ni nyangumi na dolphins. Wao ni mamalia wa majini. Hawakuhitaj miguu ivo ikadisappear.. baadhi ya jamii za nyangumi wanamifupa ambayo inapasa kua miguu ila iko 'stuck' mwilin..