Naamini Mungu yupo ila nashindwa kuuelewa ukamilifu wake, labda muendelee kunifunza

Umekurupuka, nilivyosema kubalehe nimemaanisha kupevuka kiakili.

Hayo mambo mengine umeyatoa wapi?

Be humble, read between the lines.
So umekubali umekuwa muislam kabla ya kujielewa. Bac thanks it proves my point. So ungekuwa umejielewa usingeamini huo utoto
 
Mi sijali kuhusu kitabu Chenu Cha story... naongelea Hali halisi. Wanawake kuteswa. Mtume kubaka kitoto na Quran kuandika kill and terrorize the unbelievers. Hio in battle imewekwa brackets coz haipo in original texts.
 
Mtume wao sindo alimuoa aisha akiwa na miaka sita. Na kufanya nae ngojo akiwa na miaka 9... alimuoa akiwa mdogo, bado anachezea midoli. Baadhi ya wafuasi wake wanaita hii ni sunna ivo wanaoa watoto wadogo[emoji2365]
Acha tu hii dini jau ka zingine tu
 
Unamwamini Mungu yupi wewe?
 
Sisi ndio chanzo cha mambo yote haya kutokea kwani tumejengwa kwa mawazo yetu binadamu na hakuna kingine bali sis ndio chanzo cha mambo yote. Usijiulize kuhusu chochote .
 
Ukijiuliza utajua ni sababu ya utawala
 
Sisi ndio chanzo cha mambo yote haya kutokea kwani tumejengwa kwa mawazo yetu binadamu na hakuna kingine bali sis ndio chanzo cha mambo yote. Usijiulize kuhusu chochote .
Acha uwoga na uvivu wa kufikiri. We ndo chanzo chako sio sisi...
 
Heavens hizo saba ziko wapi?
Sijui zipo wapi,...aliyeziumba ndiyo anajua exact location ya hizo mbingu Saba.

It is Allah who has created seven heavens and of the earth, the like of them. [His] command descends among them so you may know that Allah is over all things competent and that Allah has encompassed all things in knowledge." (Qur'an 65:12)
 
Evolution is all about use and dissuse. Sasa unasemaje kuhusu hii ya tembo, ambayo ni kitu recent (about a span of 100years). Kama sio use and dissuse ni nn basi?

You've got your facts wrong...
Ubishi sio mzuri, kubali kupokea ukweli anytime unapoupata.

Kama Charles Darwin, ameipinga hiyo theory,... Wewe Muumini wake inakuaje uendeleze ubishi?

Kuhusu Tembo, nishasema kwamba Genes ndyo zina transfer traits za viumbe na sio External features.
 
Unaijua story ya Noah...story ya Babel... mbingu ni mawinguni..nyie mkaja na Saba zenu hizo...basi tuzungumzie walioenda space na mwezini. Machine zilizotua mars elezea bac
Kama, kwa mujibu wako mbingu ni mawinguni..... Sawa nakubali mtazamo wako.
 
So umekubali umekuwa muislam kabla ya kujielewa. Bac thanks it proves my point. So ungekuwa umejielewa usingeamini huo utoto
Nishasema nimekua Muislam baada ya kufikia umri ambao naweza kupambanu mambo... Kusoma na kufuata Uislam ni vitu viwili tofauti.

Hata Evolution Theory nilisoma.... Lakini baada ya kuingia deep zaidi ndiyo nikaona ni chai tu.
 
Mi sijali kuhusu kitabu Chenu Cha story... naongelea Hali halisi. Wanawake kuteswa. Mtume kubaka kitoto na Quran kuandika kill and terrorize the unbelievers. Hio in battle imewekwa brackets coz haipo in original texts.
Wanawake gani wanateswa? Uislam unamjali na kumpa hadhi kubwa Mwanamke,.... Au Wanawake kujistiri ndiyo mateso hayo?
Mtoto gani Kabakwa?
Qur'an haijaandika huo uongo? Only retaliation is allowed in Islam. It's Haram/great sin to kill those who don't harm you in any way.

Inaonekana umejaza chuki tu kwenye moyo juu ya Uislam..., Ingekua sio chuki usingetunga uongo.
 
Kama, kwa mujibu wako mbingu ni mawinguni..... Sawa nakubali mtazamo wako.
Ni Mujibu wa Quran na bible kwa sababu iliandikwa na watu ambao hawakuweza kufika mawinguni ndo maana walimweka Mungu huko...saa hivi unaweza kufika mawinguni ndo maana unamficha Mungu nje ya ulimwenguni... Muhammad alipaa na farasi kwenda juu why alipaa na farasi Kama sio mawinguni...story ya Nuhu inasema madirisha ya mbinguni yaliachia maji coz hawakujua mvua inasababishwa na Nini...read ur book bac
 
Nishasema nimekua Muislam baada ya kufikia umri ambao naweza kupambanu mambo... Kusoma na kufuata Uislam ni vitu viwili tofauti.

Hata Evolution Theory nilisoma.... Lakini baada ya kuingia deep zaidi ndiyo nikaona ni chai tu.
Umri gani uo... umesema ulivyobalehe now unasema ulivyojielewa mbona unajichanganya Sasa... which is which
 
Angalia mateso wanaopitia wanawake in Islamic countries afu urudi sawa.
 
Qur'an haisemi kwamba hapo mawinguni ndiyo mbinguni...bali kuhusu hiyo mbingu ya karibu ambayo tunaweza kuiona hata kwa macho Qur'an inasema kwamba imepambwa kwa nyota 🌃

"And We have certainly beautified the nearest heaven with stars and have made [from] them what is thrown at the devils and have prepared for them the punishment of the Blaze." (Qur'an 67:5)

Kuhusu hiyo ya Noah, nadhani kwenye Bible waliamua tu kutumia neno madirisha just Literally na sio kwamba walimaanisha madirisha hasa.

NB: Mawinguni it's just a nearest heaven.... Kama nilivyosema kwa mujibu wa Qur'an ni kwamba kuna Seven heavens.
 
Angalia mateso wanaopitia wanawake in Islamic countries afu urudi sawa.
Unaweza ukatoa mfano wa hayo mateso?

Mtu kama anamtesa Mkewe,.. huyo ni ujinga wake mwenyewe Qur'an na Uislam kwa ujumla unakemea kutesa kiumbe chochote kile. Sio Mwanamke, Mwanamme, Mbwa, Mbuzi, Nguruwe na kadhalika viumbe wengine.

Uislam una discourage mpaka kukata mti ambao una manufaa kwa watu, either wanapata kivuli, matunda n.k
 
Umri gani uo... umesema ulivyobalehe now unasema ulivyojielewa mbona unajichanganya Sasa... which is which
Nimekua Muislam baada ya kufikia umri wa balehe,... Yaani baada ya kujitambua.

Hiyo niliyo bold hapo juu ndiyo ilikua kauli yangu kwenye post #980,.... Sikuishia kusema kubalehe bali niliweka (Yaani baada ya kufikia kujitambua)
Au Kujielewa ni kinyume Cha neno kujitambua?

Sasa Sijui kwanini unapindisha maneno.
 
So umekuwa muislam ukiwa na umri gani mbona unakimbia swali just name the age... nilikuwa na miaka kadhaa Kama umenidanganya ni juu yako
 
Mbona mnaweka brackets kwenye maneno... this shows that mlikuwa hamjui mnachokiandika.. haya jua ni nyota so ni mbinguni napo ama . Na usiseme kwamba waliamua kutumia...ndo uelewa wao kipindi hicho hawakujua condensation Kama cause ya mvua. So usijaribu kusema hoo mafumbo ni mafumbo saa hivi kwa sababu una elimu kuliko walioandika Quran na Biblia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…