Naamini Mungu yupo ila nashindwa kuuelewa ukamilifu wake, labda muendelee kunifunza

Bora umeongea mkuu
 
Hivi unaweza kusema mimi, Mkristo, alafu huamini ukamilifu wa Mungu, unaamini Mungu yupo, ila una shaka na ukamilifu wake.
 
Swahili Union Version 2 PET. 1:20-21 Mkijua neno hili kwanza, ya kwamba hakuna unabii katika maandiko upatao kufasiriwa kama apendavyo mtu fulani tu. Maana unabii haukuletwa po pote kwa mapenzi ya mwanadamu; bali wanadamu walinena yaliyotoka kwa Mungu, wakiongozwa na Roho Mtakatifu.
 
Hii point ni the best kama itasomwa na aliens au viumbe wenye uwezo wa ku access higher dimensions

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Imani inatunza sana historia...na inaweza kuhifadhi kwa miaka zaidi ya milioni iliopita.

Mwanadamu wa saasa haui kuitumia vyema imani kuchakata taarifa zake kwa sababu mpaka sasa (civilization yetu) haina nguvu za kutosha za kufungua milango yote ya fahamu.

Na hii inatuzuia kujua mengi ambayo baadhi yake yamo kwenye thread hii

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Acha uongo Mkuu, vita ya Sudan haihusiani kabisa na Uislam.... Bali ni vita ya kisiasa tu

Fuatilia vizuri bila chuki.
Kwann watumie uislamu? Mm nakwambia hivi sujaskia kwenye chombo chochote cha habari... bali mtu nnayefahamiana nae alikua huko ananiambia hali halisi.

Achana na Sudan. Pakistan, Lebanon zilikua nchi nzuri kabla ya uislamu saiv? Shitholes... India next na nchi za ulaya...
Nambie nchi gani imeturn better baada ya kuadopt usilamu?

Saudi yenyew inadithch uislamu kimtindo halafu wanabribe nchi zipokee wakimbizi wakiislamu.

Haya, miss Saudi:

Kwanza unajua human assisted evolution ni nn?
Kama hujui, ni evolution inayofanywa na binadamu, basically. Au kwa ufasaha zaidi unaweza kuiita selective breeding. Hii imesaidia kupata breed mbalimbali za mboga na wanyama.

Picha ya juu ni baada, ya chini ni kabla. Hio ni evolution ilivosudgestiwa na Darwin. Proof za hao ancestors wengine huwez kuzipata kwasababu ni kitu kimetokea muda mrefu uliopita, usikaze fuvu.

Kuna njia nyingine za kuprove...

If humans could do it, inamaanisha hata kwa nature inaweza kuhappen
 
Wanautumia Uislam kivipi..?
Yaani kwa mfano kama Vita inayoendelea Sudan unaweza kusema Uislam unatumika vipi pale?

Wewe binafsi Kwanini unaona Uislam sio kitu kizuri kabisa,kitu gani kibaya Uislam ushawahi kukusababishia labda?
 
Roho mtakatifu kila mtu anasema anae ndo maana Kuna dini 4566336 na madhehebu 58999743. Inaonyesha wote waongo tu
 
Wanautumia Uislam kivipi..?
Yaani kwa mfano kama Vita inayoendelea Sudan unaweza kusema Uislam unatumika vipi pale?

Wewe binafsi Kwanini unaona Uislam sio kitu kizuri kabisa,kitu gani kibaya Uislam ushawahi kukusababishia labda?
Hivi unaijua 911....3000 people died pale marekani ndo mwanzo wa the new atheists movement na watu kuchukua dini. We unaishi nchi ambayo watu hawajilipui kisa bikra 72 so tulia huwezi elewa
 
Evolution Theory ni Imani tu,... Hiyo Assisted Evolution hatuoni kiumbe mpya au Mmea mpya Bali ni ule ule tu umeongezwa baadhi ya features.

Hiyo ni tofauti kabisa na kudai kwamba Binadamu, Ndege na Chura wanatokana na Ancestor mmoja.
 
Hivi unaijua 911....3000 people died pale marekani ndo mwanzo wa the new atheists movement na watu kuchukua dini. We unaishi nchi ambayo watu hawajilipui kisa bikra 72 so tulia huwezi elewa
Una ushahidi 911 Uislam ulihusika?
 
Una ushahidi 911 Uislam ulihusika?
Aaah kdk ..bac yaishe...amini unachoamini. Maana at this point ni sawa na kuuliza unaushahidi Kama unaishi au unaota..stop being illogical. Acha kutetea dini uliyeletewa na muarabu ili akutawale sawa. Reality is Beautiful reality haina kutishiana amani kisa vitu vya kufikirika hells majini sijui. Freedom from ur mental slavery is a choice. Hamna mtu atakushikia upanga.
 
Evolution Theory ni Imani tu,... Hiyo Assisted Evolution hatuoni kiumbe mpya au Mmea mpya Bali ni ule ule tu umeongezwa baadhi ya features.

Hiyo ni tofauti kabisa na kudai kwamba Binadamu, Ndege na Chura wanatokana na Ancestor mmoja.
Halafu evolution isn't true kwako sawa. Haimaanishi Allah ndo wa ukweli. So why choose Allah instead. Kama huamini kitu Cha Imani bac usiamini uislamu.
 
Wanautumia Uislam kivipi..?
Yaani kwa mfano kama Vita inayoendelea Sudan unaweza kusema Uislam unatumika vipi pale?

Wewe binafsi Kwanini unaona Uislam sio kitu kizuri kabisa,kitu gani kibaya Uislam ushawahi kukusababishia labda?
Sudan watu wamejificha msikitini. Hawapewi chakula bali maji tu.... walikua wanakutaka ukili kua "unakubali uislamu" ndio wanakuacha, wanakupeleka kwenye msikiti. Bila hivo unauawa....

Kwann naona uislamu sio mzuri? Kwasababu usilamu sio mzuri... angalia nchi ziliadopt uislamu, zinateketea. Zilikua vizuri kabla ya uislamu.

Evolution Theory ni Imani tu,... Hiyo Assisted Evolution hatuoni kiumbe mpya au Mmea mpya Bali ni ule ule tu umeongezwa baadhi ya features.

Hiyo ni tofauti kabisa na kudai kwamba Binadamu, Ndege na Chura wanatokana na Ancestor mmoja.
Hio sasa inahitaji muda kutokea...

Evolution ya mbwa tu au ng'ombe (ambayo ndio iko recorded, kind of) ilitumia maelfu ya miaka. Sasa kitu cha billion years ago unataka upate proof gani? Halafu ukute hujui kutofautisha kati ya speculation na imani...
 
Unajua nini,... Usipende kuamini propaganda Mkuu.

Hivi kwa mfano hiyo 911 kama ilifanywa na Waislam ilifanywa kwa malengo gani?
Na, Je baada ya hilo shambulio Waislam wamepata faida gani baada ya kufanya hivyo.?

Ukijiuliza hilo swali,huenda Utajua kama ni propaganda tu.

NB:- Sitetei dini bali kama kitu ni uongo ntasema ni Uongo na kama kweli ntasema ni kweli kwanini nifiche.
 
Halafu evolution isn't true kwako sawa. Haimaanishi Allah ndo wa ukweli. So why choose Allah instead. Kama huamini kitu Cha Imani bac usiamini uislamu.
Hahhh, sawa.... Kwahiyo tumekubaliana Evolution Theory ni Imani?
 
Hiyo story ya Sudan mwenyewe umesema kwamba ni Hearsay kutoka kwa co-worker wako.... Sasa Ili uthibitishe yanayosemwa tuwekee habari kutoka chanzo chochote cha habari cha kuaminika.

Hizo Nchi zimeteketea kivipi,.... Hizo Nchi unazosema Zinajiteketeza zenyewe kwa ku push WOKE AGENDA(Transgender na Ushoga kwa ujumla)..... Sasa Sijui Uislam unaziteketeza vipi hizo Nchi.
 
Mara nyingi kwenye Evolution Theory inatumika phrase ''Its Believed that..... ". Kwasababu wanajua hiyo ni Imani na currently kuna vitu hawawezi kuthibitisha hivyo inabidi Imani itumike.

NB:- Hawatumii "it's speculated that"....... Kwasababu,...Speculation is only for the future endeavors! Belief is for the past& future 🤝🏼
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…