Naamini Mungu yupo ila nashindwa kuuelewa ukamilifu wake, labda muendelee kunifunza

Hapo naona unamfikiria Mungu kama binadamu.

Ila kwa Mungu dunia iko sawa kabisa na anavyotaka yeye, ila wewe ndo unafikiri hayo yote yaliyo tokea yako nje ya uwezo wake.

Ngoja nikuulize

1.Kwa nini tunaweka watu 22 uwanjani washindane kuingiza mpira golini kwa kutumia miguu.

Mbona asiingia tu mtu mmoja akabeba mpira na mkono akaugiza golini?

2.Umewahi kucheza gemu rahisi? Lilikua linaboa eeeh?

Mpaka happy Kuna kitu umegundua au bado.
Kwahio dunia isingekua na vita wala magonjwa ingekua inaboa sana eh...?
 
Wewe nenda Olduvai nikikuambia picha ya mtume unipe utanipa we vipi, Ila si tunajua alikuwepo ama ..mbona unabishana Kama primary student eti picha...una picha ya dinosaur wewe original huna, kwa hiyo mifupa Ile ni feki au...unasema kuona ni kuamini lakini 190% ya vitu kwenye Quran yako ni unscientific na unistorical lakini unaamini na hujaona, naomba video ya mwezi kugawanyishwa bac nikuamini.
Olduvai hakuna uthibitisho, kungekua na uthibitisho watu wote duniani wangefurika Olduvai kwenda kutizama babu zao... Wewe kama Muumini wa Evolution Theory bado hujaonyesha uthibitisho wa huyo ancestor ambae human being wote tumetokana na yeye.
The-Story-of-the-Human-Body_Biological-evolution (1).png

Ngoja nikukumbushe stages za Human evolution nimeambatanisha na picha Ili uone zina facts au ni Imani tu:-⤵️
1. Hominin evolution: This stage of human evolution covers the period from around 6-7 million years ago, when the earliest ancestors of modern humans first diverged from the lineage that would become chimpanzees and other apes.

2. Australopithecine evolution: This period covers the emergence and diversification of the australopithecines, a group of early hominins that lived between around 4 million and 2 million years ago. This group includes well-known species like Australopithecus afarensis (the species to which the famous "Lucy" fossil belongs) and Australopithecus africanus.

3. Early Homo evolution: Beginning around 2.5 million years ago, the genus Homo emerged and began to diversify. This period includes the evolution of species like Homo habilis, Homo erectus, and Homo heidelbergensis, which were characterized by larger brains and more sophisticated tool-making abilities than their predecessors.

4. Neanderthal evolution: The Neanderthals were a distinct group of hominins that lived in Europe and Asia between around 400,000 and 40,000 years ago. They were adapted to living in cold environments and had large brains and powerful bodies.

5. Modern human evolution: Modern humans, or Homo sapiens, first emerged in Africa around 300,000 years ago. They gradually spread across the world, replacing other hominin groups like the Neanderthals and Denisovans. This period includes important developments like the emergence of language, art, and agriculture.

Je, kwa stages hizo... Do you still believe That Evolution Theory hold 100% facts about the Origin of human being?... Evidence!?

Kwamba Zamani Watu walikua wanatembea kwa Miguu Minne kama Mbuzi?

Ukijibu hayo maswali,.... Swali la mwisho ntakuuliza huyo Ancestor yeye alitokea wapi?

NOTE:- siulizi maswali kwa ajili ya kukomoa.... Ila nataka mfahamu tu kwamba Imani ni kitu ambacho currently huwezi kuthibitisha., So mnavyowakalia kooni wanaoamini Mungu wawape uthibitisho kuhusu Mungu inakua sio sawa maana hata nyie mkiambiwa mthibitishe Imani zenu hamuwezi!
 
Mm hapa kukimbia mitini? Labda sikuona hili swali...

Fossils zilizoko ni uthibitisho tosha... au sio?

View attachment 2609581

Kama huo sio uthibitisho basi tuambie kwann miaka hio iliopita binadamu hawakuepo na kwann hao, binadamu-like primates walitoweka... na hii sio kwa binadamu pekee bali kila mnyama alie hai sasaiv
Kwa hio picha hapo utaona kua binadamu hajatokana na chimpanzee btw, kama ulivodai hapo awali
Angalia hii picha then utagundua kama Evolution Theory tumepigwa⤵️
1_2.jpg

Kumbuka sio Mimi niliyedai kwamba Mtu asili yake ni Sokwe au Chimpanzee bali Evolution Theory ndiyo inavyosema,...... Hakuna fossil yoyote inayothibitisha Mtu alikua Sokwe.

Unauliza kwanini Mtu like-primates walitoweka?,..... Wakati hata nikikuambia unipe uthibitisho kwamba hao watu like-primates washawahi kuwepo huwezi kuleta.
 
Olduvai hakuna uthibitisho, kungekua na uthibitisho watu wote duniani wangefurika Olduvai kwenda kutizama babu zao... Wewe kama Muumini wa Evolution Theory bado hujaonyesha uthibitisho wa huyo ancestor ambae human being wote tumetokana na yeye.View attachment 2609634

Ngoja nikukumbushe stages za Human evolution nimeambatanisha na picha Ili uone zina facts au ni Imani tu:-[emoji3593]
1. Hominin evolution: This stage of human evolution covers the period from around 6-7 million years ago, when the earliest ancestors of modern humans first diverged from the lineage that would become chimpanzees and other apes.

2. Australopithecine evolution: This period covers the emergence and diversification of the australopithecines, a group of early hominins that lived between around 4 million and 2 million years ago. This group includes well-known species like Australopithecus afarensis (the species to which the famous "Lucy" fossil belongs) and Australopithecus africanus.

3. Early Homo evolution: Beginning around 2.5 million years ago, the genus Homo emerged and began to diversify. This period includes the evolution of species like Homo habilis, Homo erectus, and Homo heidelbergensis, which were characterized by larger brains and more sophisticated tool-making abilities than their predecessors.

4. Neanderthal evolution: The Neanderthals were a distinct group of hominins that lived in Europe and Asia between around 400,000 and 40,000 years ago. They were adapted to living in cold environments and had large brains and powerful bodies.

5. Modern human evolution: Modern humans, or Homo sapiens, first emerged in Africa around 300,000 years ago. They gradually spread across the world, replacing other hominin groups like the Neanderthals and Denisovans. This period includes important developments like the emergence of language, art, and agriculture.

Je, kwa stages hizo... Do you still believe That Evolution Theory hold 100% facts about the Origin of human being?... Evidence!?

Kwamba Zamani Watu walikua wanatembea kwa Miguu Minne kama Mbuzi?

Ukijibu hayo maswali,.... Swali la mwisho ntakuuliza huyo Ancestor yeye alitokea wapi?

NOTE:- siulizi maswali kwa ajili ya kukomoa.... Ila nataka mfahamu tu kwamba Imani ni kitu ambacho currently huwezi kuthibitisha., So mnavyowakalia kooni wanaoamini Mungu wawape uthibitisho kuhusu Mungu inakua sio sawa maana hata nyie mkiambiwa mthibitishe Imani zenu hamuwezi!

Sasa hapo kwa point 5 hapo. Hao ndio humans sasa... wengine wale walikua sio humans... na unajua kua wazungu wengi wana genes za homo neanderthalensis? Kisayansi tunasema kua early homo sapiens wali jamiiana na hawa homo neanderthalensis ndiomaana. Wewe unasemaje?

Proof ipo kwenye DNA. Waafrika hatuna genes za homo neanderthalensis kwasababu hao homo neanderthalensis hawakuishi ukanda huu wa afrika.
 
Angalia hii picha then utagundua kama Evolution Theory tumepigwa[emoji3593]
View attachment 2609663

Kumbuka sio Mimi niliyedai kwamba Mtu asili yake ni Sokwe au Chimpanzee bali Evolution Theory ndiyo inavyosema,...... Hakuna fossil yoyote inayothibitisha Mtu alikua Sokwe.

Unauliza kwanini Mtu like-primates walitoweka?,..... Wakati hata nikikuambia unipe uthibitisho kwamba hao watu like-primates washawahi kuwepo huwezi kuleta.
Proof ipo hata Olduvai gorge jamani. Fossils za hao viumbe. Au unataka nije nyumbani kwako nikuletee viumbe walioishi 5mya wakiwa hai? Ww nikikwambia ulete proof ya uwepo wa babu kizaa babu wa babu yako utaleta proof gani...?

Halafu binadamu hajatokana na chimpanzee. Hakuna mtu aliewahi kusema ivo
 
Hata binadamu nae ni sokwe au ape kwa kiingereza.

View attachment 2609594

Hapo 6mya tulikua na ancestor mmoja pamoja na chimpanzee. Hii inamaanisha kwamba kwenye fossil records hakuna ushahidi wa uwepo wa chimps wala binadamu ila huyo kiumbe alikua anamfanano na binadamu pamoja na chimps. Na alipobadili mazingira ndio tunaona baadae aina nyingine ya sokwe inatokea... so hao sokwe wengine walitokea wapi? Ihali hawakuepo mwanzoni? Binadamu hajatokana na apes bali binadamu ni apes, sub class ya "great apes"

Swala la mkia nilitoa ufafanuzi ukaanza kubishia the obvious.
Huyo kiumbe mwenye Mfanano na binadamu pamoja na Chimps.... Unamjua?

Unaweza ukathibitisha kwamba ashawahi kuwepo, hiyo Miaka Million 6 iliyopita?

Binadamu sio Ape kama ilivyo Ape sio Binadamu.

Tena kwa kukusaidia pendelea kutumia neno mtu..... Maana wewe huamini kuhusu Watoto wa Adamu na Ukisema Binadamu tayari unamaanisha Mtoto/Watoto wa Adamu...
 
Sasa hapo kwa point 5 hapo. Hao ndio humans sasa... wengine wale walikua sio humans... na unajua kua wazungu wengi wana genes za homo neanderthalensis? Kisayansi tunasema kua early homo sapiens wali jamiiana na hawa homo neanderthalensis ndiomaana. Wewe unasemaje?

Proof ipo kwenye DNA. Waafrika hatuna genes za homo neanderthalensis kwasababu hao homo neanderthalensis hawakuishi ukanda huu wa afrika.
So,Mtu kabla ya ku_evolve ashawahi kuwa Sokwe kabisa tena akatembea kwa Miguu Minne kama Mbuzi?
 
Huyo kiumbe mwenye Mfanano na binadamu pamoja na Chimps.... Unamjua?

Unaweza ukathibitisha kwamba ashawahi kuwepo, hiyo Miaka Million 6 iliyopita?

Binadamu sio Ape kama ilivyo Ape sio Binadamu.

Tena kwa kukusaidia pendelea kutumia neno mtu..... Maana wewe huamini kuhusu Watoto wa Adamu na Ukisema Binadamu tayari unamaanisha Mtoto/Watoto wa Adamu...
Sasa unataka upingane na uhalisia. Ulisoma classification wewe? Unaweza kunitajia idadi ya wanyama walio kundi la great apes?

Au hata huelewi maana ya apes...
 
Proof ipo kwenye DNA. Waafrika hatuna genes za homo neanderthalensis kwasababu hao homo neanderthalensis hawakuishi ukanda huu wa afrika.
Sawa tuendelee kuelimishana ,.

Ngoja niulize swali lingine....., Hao Homo Neanderthalensis ambao umesema hawakuishi ukanda huu wa Africa,... Means waliishi sana Ulaya.

1. Neanderthalensis wali evolve kutoka kwa kiumbe gani mwingine?

2. Na huyo kiumbe ambaye Neanderthals wali evolve kutoka kwake.... Yeye alitokana na kiumbe gani?
 
Angalia hii picha then utagundua kama Evolution Theory tumepigwa[emoji3593]
View attachment 2609663

Kumbuka sio Mimi niliyedai kwamba Mtu asili yake ni Sokwe au Chimpanzee bali Evolution Theory ndiyo inavyosema,...... Hakuna fossil yoyote inayothibitisha Mtu alikua Sokwe.

Unauliza kwanini Mtu like-primates walitoweka?,..... Wakati hata nikikuambia unipe uthibitisho kwamba hao watu like-primates washawahi kuwepo huwezi kuleta.
Halafu pia ww ngalia katika hio picha uliopost ww mwenyew hapo. Haioneshi kua binadamu alikua chimpanzee. Utofauti umeanzia hapo around 6mya...
 
Wewe kama Expert wa Evolution Theory.... Ndiyo useme mtu alikua nani.

Ili kama ntakua na doubts nikuulize swali.
 
Sawa tuendelee kuelimishana ,.

Ngoja niulize swali lingine....., Hao Homo Neanderthalensis ambao umesema hawakuishi ukanda huu wa Africa,... Means waliishi sana Ulaya.

1. Neanderthalensis wali evolve kutoka kwa kiumbe gani mwingine?

2. Na huyo kiumbe ambaye Neanderthals wali evolve kutoka kwake.... Yeye alitokana na kiumbe gani?
Neanderthals wao walikua ni homo sapiens, wali migrate kutoka afrika na kuelekea ukanda huo wa ulaya. Sasa kwavile mazingira yalikua tofaut hawakusurvive vizuri baadhi waliadopt walioshindwa kuadopt walikufa (that's evolution). Baadae more homo sapiens kutoka afrika (hawa hawakuevolve kwasababu mazingira hayakubadilika) wakaenda huko na kujamiiana na homo neanderthalensis. Na fossil records znaonesha kua homo neanderthalensis walikua na fuvu kubwa zaidi ivo inawezekana walikua na ubongo mkubwa, (ndo kusema walikua wana akili zaidi?). Mpaka leo wazungu wana genes za homo neanderthalensis kwa kiasi fulani... and this is the only way we could tell why. Kama unareason nyingine unaweza kuiwasilisha ikawa studied, science is free for everyone.
 
Sawa vizuri,....
Nisaidie haya maswali:-
1. Neanderthalensis wali evolve kutoka kwa kiumbe gani mwingine?

2. Na huyo kiumbe ambaye Neanderthals wali evolve kutoka kwake.... Yeye alitokana na kiumbe gani?
 
Wewe kama Expert wa Evolution Theory.... Ndiyo useme mtu alikua nani.

Ili kama ntakua na doubts nikuulize swali.
Maelezo umetoa mwenyew kabisa hapo juu kwenye post yako #862
Ila kuna baadhi ya missing links na hii ni kwasababu sio fossils zote zimekua preserved ndiomaana kila mara fossilis mpya zinagunduliwa na kufanyiwa utafiti. Wanakadiria kua takriban 95% ya historia imepotea...
 
Sawa vizuri,....
Nisaidie haya maswali:-
1. Neanderthalensis wali evolve kutoka kwa kiumbe gani mwingine?

2. Na huyo kiumbe ambaye Neanderthals wali evolve kutoka kwake.... Yeye alitokana na kiumbe gani?
Hilo ulioquote ndio jibu[emoji2377]

"Homo heidelbergensis, Homo antecessor or another species, ikiwemo homo sapiens" unajua kua kuna missing links?
 
Maelezo umetoa mwenyew kabisa hapo juu kwenye post yako #862
Ila kuna baadhi ya missing links na hii ni kwasababu sio fossils zote zimekua preserved ndiomaana kila mara fossilis mpya zinagunduliwa na kufanyiwa utafiti. Wanakadiria kua takriban 95% ya historia imepotea...
Kwenye post #862 sio kwamba Chimpanzee nimemuweka Mimi bali ndiyo hivyo Evolution Theory inavyosema, Mimi nimeileta tu hapa tuichambue wote.

Kuhusu missing links kwenye Evolution Theory zipo nyingi tu(apart from hiyo ishu ya fossils)kwa mtu anaedadisi kwa undani:-
Mfano, Evolution Theory inasema Neanderthals (ambao mafuvu Yao ni makubwa) walitoka Africa waka migrate kwenda Ulaya.
Missing links⤵️
1. Kama Neanderthals (Large skulls 💀) wali migrate wakitokea Africa,... Inamaanisha Africa kulikua na Neanderthals wengi zaidi na pia haiwezekani kwamba walihama wote kwenda Ulaya.... Swali ni Je.., Neanderthals waliobaki Africa wapo wapi?
2. Hawana ushahidi wa kihistoria wa hiyo Migration ya Neanderthals kwenda Ulaya.

3. Lakini pia Evolution Theory, haielezi kwamba huyo kiumbe ambae Apes walievolve kutoka kwake..... Ni nani na alikua vipi.... Lakini pia haielezi huyo kiumbe alitokea from nothing au aliji form mwenyewe.

So, utagundua missing links ni nyingi... Labda kama una maelezo yake unaweza kutoa hapa.
 
Kwenye post #862 sio kwamba Chimpanzee nimemuweka Mimi bali ndiyo hivyo Evolution Theory inavyosema, Mimi nimeileta tu hapa tuichambue wote.

Kuhusu missing links kwenye Evolution Theory zipo nyingi tu(apart from hiyo ishu ya fossils)kwa mtu anaedadisi kwa undani:-
Mfano, Evolution Theory inasema Neanderthals (ambao mafuvu Yao ni makubwa) walitoka Africa waka migrate kwenda Ulaya.
Missing links[emoji3593]
1. Kama Neanderthals (Large skulls [emoji88]) wali migrate wakitokea Africa,... Inamaanisha Africa kulikua na Neanderthals wengi zaidi na pia haiwezekani kwamba walihama wote kwenda Ulaya.... Swali ni Je.., Neanderthals waliobaki Africa wapo wapi?
2. Hawana ushahidi wa kihistoria wa hiyo Migration ya Neanderthals kwenda Ulaya.

3. Lakini pia Evolution Theory, haielezi kwamba huyo kiumbe ambae Apes walievolve kutoka kwake..... Ni nani na alikua vipi.... Lakini pia haielezi huyo kiumbe alitokea from nothing au aliji form mwenyewe.

So, utagundua missing links ni nyingi... Labda kama una maelezo yake unaweza kutoa hapa.

Kwenye hio post yako #862, point ulioipa namba "1" kuna sehem umesema "...modern humans first diverged from the lineage that would become chimpanzees and other apes."

"...modern humans DIVERGED..." hapo unaona kabisa binadamu hajatokana na chimpanzee... au hujui ulichokiandika mwenyewe [emoji2377]

1. Neanderthals hawakutokea afrika, bali ni species flani za apes walievolve kua Neanderthals. Species gani? Hapo ndio kuna missing link...
2. Ushahidi wa migration upo, unafanywa kwa kusoma fossils. Unapogundua fossils unaangalia eneo husika umepata fossils ngapi za kiumbe huyohuyo afu unazidate, unaunganisha na data za dunia nzima halafu unajudge migration ilikua inaelekea wapi.
3. Evolution inaeleza. Kwa ufupi angalia Evolution tree (picha umezishare mwenyew) ila ukitaka maelezo unaweza kwenda museums ukaelezewa. Ukitaka maelezo zaidi unaweza kujisomea

Yes... missing links ni nyingi, about 90% of human history has been lost. And only about 1.6% has been recorded. Hapa bongo tu ukiuliza maisha talikuaje miaka 500 iliopita, hatujui... hatuna hio historia.
 
Olduvai hakuna uthibitisho, kungekua na uthibitisho watu wote duniani wangefurika Olduvai kwenda kutizama babu zao... Wewe kama Muumini wa Evolution Theory bado hujaonyesha uthibitisho wa huyo ancestor ambae human being wote tumetokana na yeye.View attachment 2609634

Ngoja nikukumbushe stages za Human evolution nimeambatanisha na picha Ili uone zina facts au ni Imani tu:-⤵️
1. Hominin evolution: This stage of human evolution covers the period from around 6-7 million years ago, when the earliest ancestors of modern humans first diverged from the lineage that would become chimpanzees and other apes.

2. Australopithecine evolution: This period covers the emergence and diversification of the australopithecines, a group of early hominins that lived between around 4 million and 2 million years ago. This group includes well-known species like Australopithecus afarensis (the species to which the famous "Lucy" fossil belongs) and Australopithecus africanus.

3. Early Homo evolution: Beginning around 2.5 million years ago, the genus Homo emerged and began to diversify. This period includes the evolution of species like Homo habilis, Homo erectus, and Homo heidelbergensis, which were characterized by larger brains and more sophisticated tool-making abilities than their predecessors.

4. Neanderthal evolution: The Neanderthals were a distinct group of hominins that lived in Europe and Asia between around 400,000 and 40,000 years ago. They were adapted to living in cold environments and had large brains and powerful bodies.

5. Modern human evolution: Modern humans, or Homo sapiens, first emerged in Africa around 300,000 years ago. They gradually spread across the world, replacing other hominin groups like the Neanderthals and Denisovans. This period includes important developments like the emergence of language, art, and agriculture.

Je, kwa stages hizo... Do you still believe That Evolution Theory hold 100% facts about the Origin of human being?... Evidence!?

Kwamba Zamani Watu walikua wanatembea kwa Miguu Minne kama Mbuzi?

Ukijibu hayo maswali,.... Swali la mwisho ntakuuliza huyo Ancestor yeye alitokea wapi?

NOTE:- siulizi maswali kwa ajili ya kukomoa.... Ila nataka mfahamu tu kwamba Imani ni kitu ambacho currently huwezi kuthibitisha., So mnavyowakalia kooni wanaoamini Mungu wawape uthibitisho kuhusu Mungu inakua sio sawa maana hata nyie mkiambiwa mthibitishe Imani zenu hamuwezi!
Huyo ancestor mi cjui katokea wapi na evolution of species haijaribu kujibu swali la origin of the universe..hio Ni big bang theory...lakini we niambie which one is more likely kuwa ilitokea evolution au Adam na Hawa na ibilisi kwenye bustani yenye wanyama wote(bacteria, polar bears, kangaroo umo umo), na mti wenye mema na mabaya. Ukinijibu chochote nitakuacha
 
Kwenye hio post yako #862, point ulioipa namba "1" kuna sehem umesema "...modern humans first diverged from the lineage that would become chimpanzees and other apes."

"...modern humans DIVERGED..." hapo unaona kabisa binadamu hajatokana na chimpanzee... au hujui ulichokiandika mwenyewe
emoji2377.png

1. Neanderthals hawakutokea afrika, bali ni species flani za apes walievolve kua Neanderthals. Species gani? Hapo ndio kuna missing link...
2. Ushahidi wa migration upo, unafanywa kwa kusoma fossils. Unapogundua fossils unaangalia eneo husika umepata fossils ngapi za kiumbe huyohuyo afu unazidate, unaunganisha na data za dunia nzima halafu unajudge migration ilikua inaelekea wapi.
3. Evolution inaeleza. Kwa ufupi angalia Evolution tree (picha umezishare mwenyew) ila ukitaka maelezo unaweza kwenda museums ukaelezewa. Ukitaka maelezo zaidi unaweza kujisomea

Yes... missing links ni nyingi, about 90% of human history has been lost. And only about 1.6% has been recorded. Hapa bongo tu ukiuliza maisha talikuaje miaka 500 iliopita, hatujui... hatuna hio historia.
Yap, ndiyo kwa mujibu wa Evolutionary mechanism ni kwamba Apes, Chimpanzee na Human beings asili yao ni moja ambae ndiyo huyo ancestor mnaesema... Ndiyo theory ikasema kwamba Human being, Chimpanzee na other Apes kila mmoja aka diverge/evolve kuwa walivyo hivi leo. (Theory ambayo ni debatable Dunia nzima, nadhani unajua)

Kumbuka wewe ndiyo ulisema Neanderthals wali migrate kutoka Africa hii ilikua kauli yako kwenye post#872 👇🏽 {Neanderthals wao walikua ni homo sapiens, wali migrate kutoka afrika na kuelekea ukanda huo wa ulaya}

3. Kama Evolution inaelezea kwa ufupi,... Means hata details about the Origin of Living things 100% haina, so we can't rely on it, au naweza kusema research zaidi ziendelee.

hasa ukizingatia mwenyewe umesema kwamba only 1.6% Origin of Human beings & Creatures wengine ndiyo ipo recorded.

Hivyo basi,... Evolution Theory inabaki kuwa Imani ambayo kuna baadhi ya uthibitisho tukitaka hatuwezi kupata... Let's agree on this 💀
 
Huyo ancestor mi cjui katokea wapi na evolution of species haijaribu kujibu swali la origin of the universe..hio Ni big bang theory...lakini we niambie which one is more likely kuwa ilitokea evolution au Adam na Hawa na ibilisi kwenye bustani yenye wanyama wote(bacteria, polar bears, kangaroo umo umo), na mti wenye mema na mabaya. Ukinijibu chochote nitakuacha
Anhaa sawa, umefanya vizuri kuwa mkweli kwamba hujui huyo ancestor katokea wapi.

Kitu Kingine ni kwamba, kutaka kumjua huyo Ancestor.... Haimaanishi kwamba tunataka kujua Origin of the Universe(Bing bang theory) bali bado tupo kwenye field ya Origin of living things ambayo inaelezewa na Evolution Theory.

Ngoja nijibu swali lako sasa:-
Kwangu Mimi kati ya Creation theory & Evolution Theory.

Naamua kuchagua Creation theory badala ya Evolution Theory,.. Kwanini?......... Kwasababu {It's more likely that This Universe all it's systems &laws that Supports our life to be Created rather than existing accidentally or by chance as The Evolution Theory says.., without The Highest Intelligent being whom we Call CREATOR.}

Ahsante.
 
Back
Top Bottom